Msaada; Taratibu za ujenzi wa nyumba mjini zipoje kwa sasa?

kipoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
325
169
Habari, naomba kujua taratibu za ujenzi wa nyumba mjini kwa sasa upoje ? Ikiwa ni pamoja na kujua taratibu za vibali vya ujenzi. Msaada wadau!!
 
Kwa Ujenzi wa Nyumba

Ujenzi wa Godown

Ujenzi wa Maghorofa

Kwa Kutumia
1.Interlock Block
2.Tofali za Aina Mbalimbali(Chipping )

Kwa Ujenzi wa Nyumba Hadi Tzs Million 15

Unakaribishwa Kwa Ujenzi Safi

Kwa Mafundi Waliobobea Kwnye Kampuni Yetu.

Tupigie kwa

0715-908698(Call/Whatsaap)
0759-538688(_Call)

ONE2ONE FOCUS

DAR ES SALAAM TANZANIA

MAKUMBUSHO STAND DSM

Tunajenga Mkoa Wowote Tanzania
 
Habari, naomba kujua taratibu za ujenzi wa nyumba mjini kwa sasa upoje ? Ikiwa ni pamoja na kujua taratibu za vibali vya ujenzi. Msaada wadau!!
Nenda ofisi za manispaa utapewa maelekezo yote.
 
Back
Top Bottom