Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ndugu zangu; Kwa desturi yetu sisi watanzania,kumiliki mjengo ni moja kati aya ndoto za watu wengi na pia ni kama kipimo cha kiwango cha ukwasi(Networth).Katika kutafuta maisha wengi wetu...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari za wakati huu wadau, natumaini mpo salama. Naomba kufahamu kwa ukubwa wa kiwanja che nye sqm 473 ninaweza kuje nga nyumba yenye vyumba vingapi na nafasi ikabakia ya kutosha. Ninataraji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Refer heading above, Kuna Hawa jamaa wanaji ita makazi investment Wana project za kuuza plot Kigamboni Kiluvya Chanika Kuna yeyote mwenye abc Kuhusu Hawa jamaa Wapo ki halali mfano mtu akilipa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za wasaa huu ndugu na marafiki. Bado naendelea na mradi kuchora Romai ya nyumba bomba ya kuishi. Ila bado sijamaliza. Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost kila...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba nipatiwe mwongozo jinsi ya upatikanaji wa hati ya shamba na gharama zake mpaka mtu unapata hati kwa kiwanja cha heka moja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam waungwana! Nina ndugu anataka afanye biashara hii na yeye ni mgeni kwenye hii kazi. Sehemu anapo taka fungua biashara siyo mjini kiasi hicho japo makazi ya watu yapo ni huku mkoa wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini ndugu, naomba kujua nyuma ya vyumba vitatu, kimoja master jiko store, dinning na public tolet kwa milion 10 naweza kusimamisha boma??? Eneo ni Dar es salaam Mpiji Magohe
0 Reactions
13 Replies
6K Views
There is no doubt, we all love good buildings, which is why we sometimes can't help but take a look and even take snap shots whenever we are around a nice building design. As we know, technology...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za Jumapili? Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama...
2 Reactions
25 Replies
11K Views
Nasikia kuna matofali mazito mara kuna matofali ya kawaida! Je tofauti zao huwa ipi? Je yanatengenezwa kwa kutumia nini? Je matofali mazito yana ratio gani? Na mepesi je? Je yanatakiwa yawe na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43. Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya...
14 Reactions
300 Replies
35K Views
Habari Wana JF. Ni matumaini yangu mko poa na mnaendelea vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Wakuu Mimi naishi nje ya nchi na sitarajii kurudi kwa miaka hii mitano inayokuja lakini nahitaji...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wana Jf, Nilikuwa nataka nianze ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa. Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchoma au kufyatua matofari...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nina mpango wa kujenga real estates za kupangisha. Je, kwa nyumba ambayo ni: Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi? Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba mwenye uzoefu na mambo ya ujenzi, anisaidie gharama za kujenga msingi tu wa jengo la ghorofa tano plot size ni 20 * 20m.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Tunatibu na kumaliza kabisa tatizo la fungus kwenye kuta za nyumba na tunakupa garantee hutasikia tena tatizo hilo karibu sana kwa wakazi wa Arusha na Moshi. Tunapatikana Arusha kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wadau! Naomba kuuliza bei ya jumla ya vitu vifuatavyo kwa mahitaji ya kufungua duka la vifaa ujenzi. 1. Mabati 2. Nondo 3. Mirunda 4. Binding wire 5. Misumari 6. Mbao na vitu vingine...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Wana JF, Duniani hakuna fundi ujenzi ambao sio waongo, tumekuwa na ugomvi kubwa mpaka kimataifa tukishitakiana na makampuni mbalimbali hadi haya kushindwa kesi au kushinda kesi. Kitaifa mpaka...
11 Reactions
28 Replies
7K Views
Mwenye kujua maduka ya Vifaa Vya Ujenzi ambayo bei zake ni rafiki Sana Kariakoo anipe direction
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Back
Top Bottom