Ujenzi wa nyumba ya gorofa

S

sikajo

New Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
4
Likes
1
Points
5
Age
45
S

sikajo

New Member
Joined Nov 30, 2016
4 1 5
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
 
Kimolah

Kimolah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
345
Likes
137
Points
60
Kimolah

Kimolah

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
345 137 60
Kwanza hakikisha una mchoro, then upate BOQ... Then pata quotations za makandarasi wawili au watatu.., lipa kodi ya ardhi then mkandarasi utakaye sign nae contract anaweza kukusaidia kupata vibali.. Unless unataka kumtumia "fundi Juma"
 
M

manjembe

Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
16
Likes
23
Points
5
M

manjembe

Member
Joined Jan 27, 2015
16 23 5
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
Uko mkoa Gani mkuu ,
 
R

Rugaiyulula

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,996
Likes
1,089
Points
280
R

Rugaiyulula

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,996 1,089 280
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
Mkuu hizo gorofa zote tatu utaishi vipi au una watoto 1st eleven. Civil and Architecture Engineers njooni kwa msaada zaidi
 
Manjagata

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
4,327
Likes
1,918
Points
280
Manjagata

Manjagata

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
4,327 1,918 280
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
Hizo pesa umetoa wapi? Kesho tunatuma timu ya uhakiki hapo kwako tunaomba uwape majibu kwa ufasaha kabisa! Tumechukua coordinates za mahali unapopatikana!!
 
ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
646
Likes
112
Points
60
ndiyomkuusana

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
646 112 60
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
what is your estimated budget?
 
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,536
Likes
2,069
Points
280
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,536 2,069 280
KWANZA ....HAKIKISHA UNA KIWANJA KILICHOPIMWA NA CHENYE HATI SAHIHI YA KUKIMILIKI

PILI ...TAFUTA MTAALAMU AITWAYE ARCHITECT KISHA MUELEZE NIA YAKO YA KUTAKA KUFANYA UJENZI....YEYE ATAKUSHAURI KAMA UNAWEZA KUJENGA GHOROFA TATU UNAZOTAKA AU LAA KULINGANA NA MIPANGO MIJI YA ENEO UNALOMILIKI

TATU...MTAALAMU HUYO ARCHITECT ATAKUPATIA GHARAMA ZA KUFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANAN NA WATAALAMU WENZAKE KAMA ENGINEERS ANA QUANTITY SURVEYORS

NNE...... UTAPATA GHARAMA ZA UJENZI WA JENGO LAKO UNALOTAKA NA LINALOKUBALIKA KISHERIA...KAMA KUTAKUWA NA CHANGAMOTO KATIKA GHARAMA BASI MUNAWEZA KUJADILI JINSI YA KUPUNGUZA GHARAMA AU KULIFANYA JANGE LIJENGWE KWA AWAMU NA MENGINEYO MENGI TUU.

TANO ....MUKIWEKA SAWA HABARI ZA PESA NA MABADILIKO KWA MAANA YA BAJETI YA UJENZI...SASA MUNAWEZA KUPELEKA MICHORO MANISPAA KUOMBA VIBALI VYA UJENZI

SITA..... UKIPATA VIBALI VYA UJENZI UTATAKIWA KUTAFUTA MKANDARASI ALIYESAJILIWA ILI MUINGIE MIKATABA YA UJENZI.

SABA...HAKIKISHA PIA UMEINGIA MKATABA NA WATAALAMU WASHAURI HASA HAO WALIOKUCHOREA MICHORO WASIMAMIE UJENZI WA NYUMBA AU JENGO LAKO.

NANE...UJENZI UKIKAMILIKA HAKIKISHA UNAPATA CHETI CHA KURUHUSU UTUMIE JENGO LAKO..CERTIFICATE OF OCCUPANCY HII INATOLEWA NA MANISPAA BAADA YA UKAGUZI WA KAZI NA REPORT TOKA KWA WATAALAMU WALIOSIMAMIA KAZI YAKO

TISA..HAKIKISHA UNAKATA BIMA YA JENGO LAKO NA IKIWEZEKANA PIA KATA BIMA YA MALI ZILIZOKUWAMO NDANI YA JENGO LAKO.

KUMI LAKINI SIO JAMBO LA MWISHO KAMA NILIVYOWEKA KWENYE MPANGILIO...USISAHAU KUFANYA SALA/MAOMBI/ DUA MAALUMU KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA HATUA UTAKAYOPITIA AU UTAYOFIKIA KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA UJENZI...UNAANZA NA MUNGU...UNAMALIZA NA MUNGU.

KARIBU KWA MASWALI ZAIDI HII NDIO IDARA YANGU INAYONIWEKA MJINI ...... ULIZA NITAKUJIBU KAMA ARCHITECT.
 
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
3,735
Likes
3,125
Points
280
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
3,735 3,125 280

Vipi kama Kiwanja hakina hati zile rasmi hivi vyetu huku uswazi nataka kujenga one storey house vipi pia nahitaji kupitia mlolongo huu au naweza kumtumia individual contractor... Kama hiyo hapo chini
img_20180607_234037_506-jpg.797223
 
Forum statistics

Threads 1,272,939
Members 490,212
Posts 30,465,192