Andaa 30mNipo mwanza sio mwenyeji sana ila nimefanikiwa kupata kiwanja sehemu,, napenda kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...!! Hadi inaisha.. mwenye ujuzi tafadhali ntafurahi tukishare pamoja... Asnte.
Mil 30. ndogo mno mkuu. Wala haifiki popote. Mleta mada kasema ya kisasa. Labda aseme sq mita ngapi anataka nyumba yake. Mie nina nyumba ya vyumba 3 vya kulala Sq mita 306 nimebakisha kuweka Gypsum nimeishatumis 56mil na hapo ni Dar ambako vifaa vya ujenzi ni nafuu ukilinganisha na mwanzaAndaa 30m
Usingesema 30m ni ndogo mno mpaka usikie ni sqm ngapi. sqm 306 nyumba yako ni kubwa.Mil 30. ndogo mno mkuu. Wala haifiki popote. Mleta mada kasema ya kisasa. Labda aseme sq mita ngapi anataka nyumba yake. Mie nina nyumba ya vyumba 3 vya kulala Sq mita 306 nimebakisha kuweka Gypsum nimeishatumis 56mil na hapo ni Dar ambako vifaa vya ujenzi ni nafuu ukilinganisha na mwanza
Vyumba vitatu too general....be specific. Wewe ndio unajenga sema unategemea kujenga sqm ngapi. Si unaona mwingine hapo anasema vyumba vitatu yake sqm 306.Nipo mwanza sio mwenyeji sana ila nimefanikiwa kupata kiwanja sehemu,, napenda kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...!! Hadi inaisha.. mwenye ujuzi tafadhali ntafurahi tukishare pamoja... Asnte.
Mtu anapoomba ushauri maana yake hana hata raman anachotaka ni nkujua ajipange vipi? msaada kwa anayejua anaweza kumshauri vizuri. Asante.Vyumba vitatu too general....be specific. Wewe ndio unajenga sema unategemea kujenga sqm ngapi. Si unaona mwingine hapo anasema vyumba vitatu yake sqm 306.
Kuna mmoja kakwambia 30m, mwingine kasema 56m hata haijaisha, mimi nitakwambia andaa 80m. Unajua kwanini? Kwasababu kila mtu anataja nyumba ya vyumba vitatu lakini size tofauti na kajenga mji tofauti.Mtu anapoomba ushauri maana yake hana hata raman anachotaka ni nkujua ajipange vipi? msaada kwa anayejua anaweza kumshauri vizuri. Asante.
306 sq.m ni jumba kubwa kwa nyumba ya vyumba vitatu. Hapo sijui mgawanyiko wa vyumba upoje, au kuna corridors nyingi. Na ndio maana umetumia mil.56 kwa sababu ukubwa wa nyumba yako ni sawa na mwingine ajenge ya vyumba vinne-vitano.Mil 30. ndogo mno mkuu. Wala haifiki popote. Mleta mada kasema ya kisasa. Labda aseme sq mita ngapi anataka nyumba yake. Mie nina nyumba ya vyumba 3 vya kulala Sq mita 306 nimebakisha kuweka Gypsum nimeishatumis 56mil na hapo ni Dar ambako vifaa vya ujenzi ni nafuu ukilinganisha na mwanza
Thanx for good analysis nimeelewa pa kuanzia sasa..Mleta mada jaribu kuangalia yafuatayo.
»Kwanza angalia eneo lako, elevation ya kiwanja, aina ya udongo. Hivi vitakusaidia kujua aina ya foundation unyohitaji kujenga. Kumbuka foundation ni kitu muhimu sana na inakula pesa nyingi hasa kama unahitaji nyumba imara.
»Tafuta ramani, hii itakupa rough estimation ya vitu kama mchanga, saruji, tofali, nondo, etc.
»Leta mafundi waangalie eneo na kukupa makadirio ya kila kitu, ni vizuri unaenda hatua kwa hatua. Foundation na costs zake kuanzia ufundi (hapa mtafanya bargain na fundi)
»Zunguka maduka mbalimbali ya vifaa vya ujenzi ujionee gharama zake na ufanye makadirio na majumuisho.
»Kama utajenga nyumba ya kawaida, say 150sq.m lakini ya kisasa, inaweza kurange 30-40million.
ok na imeisha kabisA?Najaribu kuweka picha hapa ila inanisumbua,ya kwangu ina vyumba viwili tu na sebule na jiko na choo lakini mpaka hapa imeshagonga hyo 30.naishi humo ndani lakini hapo sijaweka viyoo na kuinakshi kwa nje na ni hapo hapo Mwanza,so nyumba unayoitaka kama usemavyo andaa 30-40.inawezekana kabisa
Ndani peke yake na sijadecolate kwa nje kwa maana ya kupaka rangi na kuweka viyoo,pm namba yako ya whatsap nikutumie picha upate mwanga kidogo,isipokua nimeweka uzio wa matofali pia na gateok na imeisha kabisA?