Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa Mwanza amesema kuwa mkoa uko salama mpaka leo saa 12:18 mchana hakuna tishio lolote la kiusalama, Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akielezea kuhusu hali ya usalama jijini...
2 Reactions
15 Replies
575 Views
Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho...
12 Reactions
136 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hali ni shwari sana mitaani kote. Amani na utulivu vimetawala na kutamalaki,shughuli za kujipatia kipato kwa mwananchi mmoja mmoja zinaendelea kama kawaida huku wananchi...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
2 Reactions
9 Replies
336 Views
Hawa wanaharakati uchwara waliokimbilia nje Kama hizo hela wamekula waziruishe tu mission imeshafeli kwa 99.9%
4 Reactions
9 Replies
216 Views
Mnajidanganya: Kutokuandamana sio kuunga mkono!! TATIZO LIKO PALEPALE. kuzuia watu haina maana watu wanaunga mkono hivyo tatizo liko palepale na inawezekana linakuwa zaidi chinichini. Watoto...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Askofu Godson Abel Mollel wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Kati (Arusha) amesema kuwa anayekushawishi ukaandamane kupitia mtandao hakikisha ametangulia na watoto wake, na baba yake na mama yake ndipo...
4 Reactions
23 Replies
408 Views
TANGAZO KUTOKA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kutokana na tangazo la Serikali kuhusu mapumziko ya kitaifa tarehe 09 Disemba 2025, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza kuwa...
3 Reactions
29 Replies
898 Views
Chuga ujumbe utafika tu na maandamano haya hayana Kikomo, je mtaruhusu wananchi wafunge maduka siku zote au mtawapa wananchi wanachokitaka?
3 Reactions
9 Replies
503 Views
Hakuna watu nawachukia kama hawa viumbe wanaoitwa Polisi Ndo maana mkiingia kwenye anga za wajeshi huwa wanawashughulikia Wengi ni form four leavers ambao walifeli hawana elimu yoyote kichwan...
1 Reactions
3 Replies
169 Views
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya...
11 Reactions
118 Replies
3K Views
Polisi na wajeshi wanapita mitaa muda huu wanakamata kila mtu aliyekuwa nje..Huyo kijana mwenye shati jeupe amedakwa muda huu anapelekwa kwenye gari
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Internet accessible inaenda kuwa locked baaada ya nusu saa haya maelekezo kutoka kizimkazi Muwe na wakati mwema mpaka Jumatatu ya tarehe 15
10 Reactions
98 Replies
3K Views
Wananchi mkoani Manyara, Wilaya ya Babati, wamesema mkoa huo unaendelea kuwa salama, huku wakazi wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila wasiwasi. Wamefafanua kuwa hadi sasa hakuna kiashiria...
0 Reactions
4 Replies
193 Views
Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote...
3 Reactions
21 Replies
385 Views
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa...
1 Reactions
12 Replies
288 Views
Muda huu wa majira ya kuelekea Saa 4 kwenda saa 5 Asubuhi. Hali ya mazingira katika maeneo mbalimbali ya katikati ya Jiji la Dodoma leo Disemba 09, 2025 imeendelea kuwa tulivu, huku ulinzi ukiwa...
-1 Reactions
5 Replies
435 Views
Hali ya usalama katika Jiji la Mbeya ni shwari, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya limeendelea kuimarisha usalama.
4 Reactions
11 Replies
476 Views
Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
0 Reactions
19 Replies
392 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…