Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ingawa maisha yanaendelea kama kawaida, Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania unatoa pole zake kwa watanzania. Tunaungana na watanzania kuomba uponyaji na amani ya kudumu ambayo hupatikana tu...
2 Reactions
4 Replies
194 Views
Mbunge mpya wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando maarufu Baba Levo, ametangaza mpango wa kugawa meza 500 kwa wajasiriamali wadogo ambapo Meza hizo zitakabidhiwa moja kwa moja kwa wafanyabiashara wa...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali...
5 Reactions
24 Replies
831 Views
Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Wakuu, Kama jinsi tangazo lile la uteuzi linavyosema, Rais ameteua Tume ya kuchuguza Uvunjifu wa Amani uliotokea kabla na baada ya uchaguzi na sio mauaji yaliyofanywa na Polisi! Kwa maana...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi...
3 Reactions
5 Replies
391 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema kuwa Uchaguzi wa Rais Samia ni matusi kwa watanzania akilinganisha na chaguzi...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
"Ndani ya siku 11 tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi...
0 Reactions
3 Replies
260 Views
Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD) Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita. Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa Malaria (Regional Malaria...
14 Reactions
62 Replies
2K Views
Akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo amewataka wanahabari kufikisha...
0 Reactions
13 Replies
373 Views
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ametangaza rasmi tarahe ya uzinduzi wa ofisi za Manara tv huku ikiwa ni mabadiliko ambapo awali...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo CCM, Kenan Laban Kihongosi amesema "Muda wote tumekuwa tukisisitiza kwamba kila Mtanzania aweze kuilinda amani ya nchi yetu. Tunatambua wako watu ambao...
0 Reactions
12 Replies
316 Views
Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania...
5 Reactions
8 Replies
751 Views
1. Kwa kuwafunga wapinzani wako wasishiriki uchaguzi. 2. Watu wanaokukosoa kutekwa. Hupendi kukosolewa. Job Ndugai aliposema mambo ambayo yalionekana yanakukosoa wewe, ukamfukuza uspika. Dokta...
95 Reactions
60 Replies
2K Views
Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook; Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Leo Novemba 19, 2025 kesi za uhaini zinazowakabili washtakiwa zaidi ya 100 (waliokamatwa kwa nyakati tofauti kuanzia Oktoba 29) zinatarajiwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
1 Reactions
1 Replies
312 Views
Wakuu, Hii haiitaji hata D2 kuelewa kuwa viongozi wa dini wa kiislamu wengi wametumwa kufanya kutuma mashambulizi haya na si ajabu wameshapokea pesa nyingi kwaajili ya kazi hii. Mtu anakuja...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo Kenani Kihongosi akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuwachukulia...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Back
Top Bottom