Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Chacha Wambura, amefanya kikao kazi na zaidi ya wenyeviti 70 wa mitaa na vijiji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kwa lengo la kusikiliza kero na...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Leo sisamii ndugu zangu, ni matumaini yangu mko wazima Rejea mada tajwa hapo juu, kumekuepo na upumbavu hasa kwa madereva wa serikali bila kunzingatia taratibu, usalama wa barabarani, leo yupo...
0 Reactions
2 Replies
112 Views
Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu. Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye...
3 Reactions
20 Replies
403 Views
Ikumbukwe kuwa ndugu Godfrey Mwambe ambaye alikua waziri wa Uwekezaji anakabiriwa na makosa mbalimbali ya uhalifu na anashikiliwa kihalali katika kituo cha polisi kigamboni Leo hii ndugu Hekima...
1 Reactions
7 Replies
437 Views
Huku kwetu mitaani wafanya vurugu waliandika ujumbe wao kwenye kuta na mawe maneno 'Samia must go'. Ndiyo nikajua ahaaaaaa kumbe hizi vurugu ndiyo namna yenyewe ya kupindua. Nilipoona maandaishi...
0 Reactions
7 Replies
205 Views
Kwema wana wa Mungu JF , amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake, lakini atawale sana dhehebu la islamic, nawapenda na Mungu akawainuie kila mmoja kwa imani yao. Leo nipo hapa kwa ajiri ya...
5 Reactions
22 Replies
614 Views
Duru za siasa kutokea korido za Lumumba zinamtaja kama mrithi wa mzee wa kusini. Kazi ipo aisee..
2 Reactions
21 Replies
970 Views
Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika Serikali ya Awamu ya Nne, na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Benedict Ole Nangoro, amefariki dunia leo Desemba...
0 Reactions
6 Replies
465 Views
https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza...
2 Reactions
2 Replies
287 Views
Niliwahi waambia humu Wakuu, TISS na Jeshi la Polisi hutegemea Kupata Taarifa kupitia MATESO . yaan wakikukamta wewe, wakupige, wakutese, Sasa wee ndio Useme "Fulani Yuko pale ". Hata Mh...
37 Reactions
66 Replies
3K Views
Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo. Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM...
1 Reactions
12 Replies
376 Views
Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi. Maadui tulionao...
19 Reactions
57 Replies
1K Views
Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule...
6 Reactions
24 Replies
739 Views
Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja. Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni...
3 Reactions
15 Replies
587 Views
Naelewa hasira, uchungu na hisia nyingine zilizoletwa na kile kilichotokea hasa baada Oktoba 29, lakini nadhani pamoja na yote hayo tuwaze tena ndugu zangu. Namtolea mdogo wangu Nay mfano kwa...
0 Reactions
14 Replies
358 Views
Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…