Maandamano yatafanikiwa kumuondoa Rais Samia na kufanywa wauaji waajibishwe safari hii?
Siku yenyewe ndio imefika, ikiwa ni miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika, lakini upande mwingine tunasema bado...
Niombe radhi Kwa lugha ya ukali nayatumia Kwa wajinga wanaoshangilia mauaji ya raia wenzao wa nchini kwao.
Raia mazuzu wanao una mali ni Bora kuliko uhai wa watanzania wenzao.
Raia wasiojielewa...
Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika...
Wakuu, kuna kitu kinaitwa "divide and conquer", yaani "tawanya utawale".
Kuna mifano mingi sana, wadau wa historia mna ushahidi.
Ukweli ni kwamba, wapo watu wa bara wengi wenye mali na familia...
Unakubalioana na mimi Mtu mwenye sifa ya kuua watu wasio na hatia hana sifa za kuwa rais wa nchi yetu.
Wamama wajawazito na watoto waliuwawa na kusimikwa kesi za uongo za uhaini. Huku miili...
My people,
Ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?
Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa...
My people,
Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho
Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia...
Mkuu wa nchi alitamka mbele ya wazee Dar. Kuwa kuna watu walitaka kuangusha dola hiyo tar 29 Oktoba. Hii kauli imenishutua sana. Na mpaka leo huwa natafakari.
Kwamba kulikuwa na watanzania...
Aliyekuwa mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 jenerali Ernest Mwita Kyaro amefariki dunia saa 3:55 asb. akiwa njiani kuelekea Bugando hospitali.
Tweet by ITV
Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange, amesema kuwa chama cha CHADEMA kinapaswa kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi kuhusu tuhuma za kuhusika kwenye vurugu za Oktoba 29. Kuhusu madai ya watu kunyimwa...
1. Kwa diaspora , poleni sana mlikuwa mnashadadia sana sana maandamano ya fujo yatokeee mjifariji huko kwenye barafu kuwa mna ushawishi kwa hivyo vi send wave zenu na remitly za dola 30 mpaka 100...
Namsikiliza hapa Dkt. Mwigulu. Anazungumza na wizara ya Utumishi na anazungumzia kuhusu mianya ya upotevu wa fedha.
Kwamba eneo nyeti kabisa ni manunuzi inayofanya %75 ya matumizi ya fedha...
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga
Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:
"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya...
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna...
Kama tumeanzisha mtindo wa kupiga wahalifu Risasi tuendelee sasa na MAFISADI wanaoiba mabillion Kila mwaka na wale waliokwisha KUIBA Kodi za Watanzania
Kama ndo njia nzuri ya kukomesha uhalifu...