Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.

Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.

Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.

Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
 
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni
Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. End
Mapepo lazima yatoke naona wazanzibar wanajizatiti kuiteka Tanzania na Tanganyika, ngoja tuone huu Mwaka
 
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni
Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. End
Mganga wa kienyeji naona Una bahatisha bahatisha kama kawaida wazee wa shiriki
 
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni
Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. End
Tupange zuri baya sio tuombe tuu
 
Back
Top Bottom