Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kimsingi akili mwili na roho yangu vinagoma kuamini Ben sanane na Azory gwanda sitawaona milele Yani siamini kabisaaaa. Mpaka kesho nitajiuliza kwanini Mungu amewatwaa watu Hawa Kama nabii eliya...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu zangu wa JF, natumaini mko wazima wa afya. Tuombeane mwisho mwema, ndugu na dada zangu, kwa maana sisi sote ni wasafiri katika ulimwengu huu.
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma. 🗓️Desemba 11, 2025.
1 Reactions
8 Replies
296 Views
Tupe ukweli maana hii kitu nimeikuta inajadiliwa pahala. Kuwa ulipima mzani ukaona hawa jamaa sio wa kufanya nao kazi. Yaani CCM hii. Kwa nini uliacha kujiuzuru na ukaensldele na hawa watu? Ili...
1 Reactions
13 Replies
392 Views
Sababu za kufungiwa JF ni muendelezo wa ukandamizaji wa uhuru wa kujielezea ndio maana muda umeisha na JF haijafunguliwa kinyume cha sheria, ni upumbavu. Wanazima moto kwa kujaza mafuta na...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na...
3 Reactions
6 Replies
186 Views
DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI ▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya...
2 Reactions
9 Replies
289 Views
Ukisikiliza maneno ya viongozi wa CHADEMA unaona kabisa Hawa watu siyo wenzetu kabisa, hawana Utanzania mioyoni mwao, ni watu wasioitakia mema nchi yetu, ni watu ambao hawafai mahali popote, ni...
2 Reactions
90 Replies
1K Views
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ? Maandamano...
5 Reactions
9 Replies
267 Views
Nimefuatilia mijadala ya watu sehemu mbali mbali na kugundua kuwa huu wa utawala wa Mama watu wanasema hawaukubali. Mbaya zaidi wanasema tangu tumepata uhuru huyu ndie mkuu wa nchi anayechukiwa...
3 Reactions
23 Replies
755 Views
Siitetei awamu ya Samia, wala ya Magufuli, Kwa mujibu wa barua ya Polepole amejiuzulu kwa kuwa uongozi wa sasa umeshindwa kusimamia maadili, matakwa ya wananchi na pia umefanya vibaya kukata...
17 Reactions
137 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa...
2 Reactions
12 Replies
607 Views
Nchi yoyote hujengwa na watu wanaothubutu, wenye ujasiri, wazalendo na wasiochoka kufanya tafiti na kuziweka kwenye majaribio tafiti zao Yote hayo kwa vijana wanaopata bahati ya kusoma hadi ngazi...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na...
1 Reactions
22 Replies
472 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika ibada iliyofanyika...
1 Reactions
4 Replies
322 Views
Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂 ---------------- "Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa...
0 Reactions
11 Replies
304 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…