Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025. "Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni...
16 Reactions
51 Replies
3K Views
https://youtu.be/zJJTDTAdmMA?si=2-OHtOWYBhnzGLZk Anasema; • Ni aibu sana kwa kesi ya Tundu Lissu kujadiliwa Bunge la EU kwa sababu Bunge la Tanzania ndilo lililopaswa kujadili jambo hili na...
26 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu, Zoezi la kujiandikisha halijaisha! Kuna wale watu ambao walikuwa hawajajiandikisha kwenye awamu ya kwanza zoezi la kusajili wapiga kura. Tume kwa sasa ipo kwenye awamu ya pili ya zoezi...
2 Reactions
6 Replies
481 Views
Anaandika John Mnyika kwenye ukurasa wake wa X: Nimewasiliana na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe amenieleza hana dhamira ya kugombea urais, ubunge au uongozi wa chama chochote cha siasa katika...
4 Reactions
4 Replies
830 Views
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, CPA. Amos Mkalla, amepiga goti kuwaomba wakazi Mvomero, wamruhusu aendelee kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan na kwamba sasa siyo...
2 Reactions
8 Replies
845 Views
Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho. Pia, Soma...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama tulivyowaambia tangu juzi kwamba Neema ya No Reforms No Election inaingia Kagera, na sasa imeingia kweli. Mikutano iko mingi sana, lakini kutokana na udogo wa Nafasi hapa JF tunawaletea huu...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri...
4 Reactions
113 Replies
5K Views
Ile Neema ya Mungu inayoitwa No Reforms No Election sasa inaingia Mkoani Kagera. Taarifa iliyosambazwa na Chadema Dunia nzima hii hapa Taarifa zingine zinaonyesha kwamba timu ya viongozi wa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati wa Mkutano wao na waandishi wa habari, Salum Mwalimu ameeleza kuwa anaunga mkono wao kuhama chama hiko. Sambaba na hilo ameeleza kuwa yupo tayari kuwatumikia Watanzania na yupo tayari...
7 Reactions
73 Replies
4K Views
Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee, === Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Katibu Mtendaji wa Baraza la Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Charles Kitima anasema viongozi wa dini wanathamini uchaguzi na wanachotaka haki za kisiasa za Watanzania ziheshimiwe. Kupata...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Aliye kuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA Salum Mwalim Baada ya kutangaza kukiacha chama chake cha CHADEMA amefunguka mengi huku akisema Uchaguzi wa CHADEMA ulikuwa na uongo mwingi sana, rafu zilikuwa...
2 Reactions
75 Replies
4K Views
Udhalilishaji wa wanawake ni kikwazo kikubwa kinachozuia ushiriki wao kamili na salama katika siasa, hasa kwenye nafasi za uongozi na maamuzi. Wanawake wengi huogopa kujihusisha na siasa kutokana...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi...
0 Reactions
13 Replies
999 Views
Wakuu, Kwanza ningependa kumpongeza Charles William kwa kufanya mahojiano yenye level kubwa sana ya professionalism. Yaani ameweza kuuliza maswali kwa huyu Salim Mwalim mpaka akaanza kujikanyaga...
0 Reactions
3 Replies
632 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kuwa uchaguzi utafanyika hata bila ushiriki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
5 Replies
528 Views
Sote ni mashuhuda, chama hicho cha siasa nchini kimeanza kuishi kwenye athari za siasa za kiharakati kama vile kususa, kuendesha mambo yake kwa kuombaomba pesa na sasa hata press conference za...
9 Reactions
123 Replies
4K Views
kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital. Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom