Kama mdau wa jukwaa hili muhimu la siasa,
unashauri nini kifanyike katika kuwaokoa na kuwanusuru vijana wa kitanzania ambao baadhi yao wamekua waraibu na mateka wa athari za digital sadism...
Taarifa zinaeleza kuwa binti aitwaye fatuma roby marwa (21), mkazi wa mji wa sirari wilayani tarime mkoani mara, ameripotiwa kutekwa leo saa 10 jioni akiwa anatoka sokoni. kwa mujibu wa taarifa za...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewaruhusu waleta maombi kufungua kesi ya msingi, katika shauri namba 30210/2025 linalohusu kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki!
Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki...
Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie.
Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo!
Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki?
Umezungumzia utekaji? Mauaji...
" Watu hawana maji Dar miaka 64 baada ya uhuru, Taifa la tatu kuwa na vyanzo vingi vya maji ni vizuri tukawaambia hawa watu kuwa watanzania si wajinga watanzania wanajua nyie ndio mmeingiza taifa...
waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa mpango wa bima ya afya kwa wote unatarajiwa kuzinduliwa kuanzia mwezi januari 2026, huku akizihimiza hospitali...
Hellow!
Ndugu John Heche na Chadema kwa ujumla, huu ni muda wa kukaa kimya kusubiri matokeo.
Kama ushauri mlishatoa wa kutosha na hamkusikilizwa, hivi sasa muda wa kuonyesha mapungufu na udhaifu...
Ujumbe kutoka kwa Mheshimiwa António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tarehe 14 Desemba 2025, wakati...
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na...
Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru...
Serikali ya Tanzania imeanza kukusanya Sh586.4 bilioni kutoka vyanzo vipya vya ndani ili kuimarisha mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI na kusaidia Mfuko wa Afya kwa Wote (UHF).
Hii ni baada ya...
Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada
1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa...
Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu...
Salaam!
Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani,
Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani...
The Tanzanian government is on the hunt for a Washington lobbyist to help “shape its narrative” on Capitol Hill and beyond as the East African nation reels from post-election violence that has...
Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi .
Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US...
"Mkuu wa nchi anasema Jeshi lisijehusishe na siasa yuko sahihi, Kuwaleta wanajeshi mtaani kupambana na raia ni kuwashushia hadhi Mwanajeshi ameandaliwa kupambana na mwanajeshi Mwingine" Mzee...