Kwamba kuna makaburi ya halaiki huko Kondo ? Kondo Dar es salam watu walifukiwa kwa mamia kama mbuzi?
Mwanza maiti zimeonekana zilirundwa kama magunia.
Watu hawakujitokeza kupiga kura kabisa...
Tangu internet imeachiwa sijapata hisia za mwanamke kabisa yani Kila nikiona hizo videos mtandaoni watu wamekufa kama mbuzi yan
Sikudhani kama ingefika siku watanzania tukafanyiana vitendo vya...
Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu.
Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa...
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika...
Kumekuwa na matukio kama kichwa cha habari kinavyo eleza Kwa ufupi.
Je Mamlaka husika zipo tayari kuwachukulia hatua wahusika kwa kosa la uhaini na uvunjifu wa Katiba
Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025...
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo...
Ila kutiki! 😀😀😀😁
Asubuhi ya October 29 nimeamka zangu nikawa na kiherehere mwenzenu, nikakimbilia kituo cha kupigia kura!
Wakati huo basi mambo shwari, nikawa najibaraguza pale napiga stori na...
"Serikali kwanza lazima ipunguze matumizi yasiyokuwa na lazima, vikao vya watumishi wa umma vya serikali sio lazima vifanyike kwenye kumbi binafsi au Hotel binafsi, tunaweza kutumia kumbi za...
Wakuu,
Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala...
Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko...
Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi...
Haki ndiyo kila kitu, anayesema AMANI imetangulia, anayesema HAKI imetangulia, huu ni upuuzi tu! Usiokuwa na faida. Itangulie, isitangulie AMANI lakini bila HAKI, kama wewe AMANI imetangulia...
Raia wazalendo wa taifa hili maarufu kama GenZ wanaoongoza harakati za kudai HAKI na UWAJIBIKAJI na UCHAGUZI HURU, HAKI na wa WAZI kwa njia ya maandamano yasiyo na ukomo yatakayoanza tarehe...
Shirika la Habari la CNN kupitia uchunguzi wake limebaini kuwa video za vijana waandamaji waliouawa wakati wa maandamano ya Oktoba 29, 2025 kisha miili yao kuonekana kwenye Hospitali za Sekou...
Uchunguzi huru uliofanywa na CNN kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025 umebaini Mamlaka za Tanzania kupitia Jeshi la Polisi zilitumia nguvu kubwa kudhibiti waandamanaji, kiasi cha kusababisha mamia...
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya...
Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya kiusalama nchini na kuchukuwa hatua kwa ukiukwaji wowote ule wa sheria za nchi.
Aidha, kumekuwepo na makundi mbalimbali, watu binafsi...
Nchi hii inashangaza sana.
Kuna double standard ya hali ya juu mno. Aliyesema atakinukisha hakuchukua round akawekwa nyuma ya nondo, saivi anapambana asinyongwe hadi kufa.
Lakini aliyesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.