Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii...
15 Reactions
75 Replies
1K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya Leo. https://youtu.be/5_d6aAoxPDE?si=G_6darBlVkWQNfz1 Makala yangu ya leo, ni pongezi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari...
2 Reactions
3 Replies
136 Views
|||MASAA 2 BILA KUSOMA POPOTE.-MHADHIRI SUA. David Kafulila, Mkurugenzi wa PPPC, akihutubia katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisisitiza wajibu wa taasisi hiyo kubwa yenye...
3 Reactions
30 Replies
551 Views
Mwendeshaji Kipindi: Eh sasa hivi kwenye siku za hivi karibuni taarifa kubwa imekuwa ni El NiΓ±o, El NiΓ±o, El NiΓ±o. Lakini pia Mheshimiwa Rais alisisitiza mara kadhaa na hata juzi akiwa anawaapisha...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa...
3 Reactions
10 Replies
167 Views
Wanaukumbi. HAYA mambo huwa hayaji kwa bahati mbaya au kwa ndoto!.. Au hayaji kwa kutumia AI πŸ˜„ WAKATI wanaharakati na wapinzani wanaikosoa hii nchi kuwa haifai kwa lolote na chochote na...
5 Reactions
34 Replies
347 Views
Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy. Sifa Kuu: -Uwezo mdogo na rushwa: Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism)...
1 Reactions
0 Replies
40 Views
KIVULI CHA FIMBO HAKIMFICHI MTU II Adeladius Makwega – MBAGALA Kumbuka siku ile Mwanakwetu alipita mbele ya ile nyumba nyeupe ya CCM, pale Dodoma. Alipita taratibu. Macho yake yakatua kwenye jengo...
2 Reactions
5 Replies
125 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake. Soma...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29. Muyinga amesema...
5 Reactions
18 Replies
330 Views
Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi...
10 Reactions
43 Replies
511 Views
Ni hayo tu, maana mnaweza kufikia Hatua ya kusema Mifugo ya Maasai inamaliza Nyasi na Majani mbugani !!
1 Reactions
4 Replies
109 Views
Wale mnaonipigia simu kutoka niwapatie fulana hizo nawaeleza Kwamba zimemalizika Tuliandaa fulana 2000 tu, na ni sare ya tukio maalum kama muujiza wa Lissu.
10 Reactions
43 Replies
791 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mafanikio ya taifa hayawezi kupimwa kwa ukubwa wa miradi ya miundombinu pekee...
4 Reactions
19 Replies
558 Views
KAFULILA ATAJA MOTISHA AMBAZO MBIA ANAPEWA NCHINI TANZANIA Dodoma – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Zacharia Kafulila, katika public lecture yake...
11 Reactions
26 Replies
676 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anapendwa na Watanzania,anakubalika na watanzania,anaishi mioyoni Mwa Watanzania,ameiteka mioyo ya watanzania,amegusa Hisia za Watanzania. Kila...
2 Reactions
97 Replies
744 Views
Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka. Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa. Aina ya Mauaji ni ileile Kukatwa Shingo Kutobolewa Macho. Ikimaanisha...
7 Reactions
10 Replies
253 Views
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π—žπ—¨π— π—ͺπ—”π—žπ—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—” π—₯π—”π—œπ—¦ π——π—žπ—§. π—¦π—”π— π—œπ—” π—žπ—”π—§π—œπ—žπ—” π— π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—’ π—ͺ𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗠𝗒𝗝𝗔 π—‘π—–π—›π—œπ—‘π—œ π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œπ—” WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka nchini leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) kwenda Roma, Italia...
2 Reactions
7 Replies
150 Views
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye...
27 Reactions
63 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…