Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
TAARIFA KWA UMMA USHAURI WA HALI YA USALAMA NA USAFIRI KWA RAIA WA TANZANIA WANAOISHI AU KUSAFIRI MASHARIKI YA KΑΤΙ Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafuatilia kwa karibu hali ya...
0 Reactions
Replies
Views
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo...
27 Reactions
21 Replies
592 Views
VIONGOZI WA NCHI ZA EAC KUKUTANA KATIKA MKUTANO WA 25 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI, ARUSHA
1 Reactions
15 Replies
213 Views
hii ndio kamati kuu ya ccm-CC itakayochuja majina wa wagombea Urais 2015 na kubakiza watatu(3) watakaoenda NEC. VIONGOZI: 1. Wilson Mukama,2. John Chiligati, 3.Vuai Ali Vuai, 4.January Makamba...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
MISINGI YA KUJENGA UTAJIRI ~Watu wengi huchanganya Mshahara mkubwa na Utajiri,Lakini utajiri wa kweli ni mfumo unaojitegemea. Utajiri hauji kwa kufanya kazi pekee,unakuja kwa kumiliki kile...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Miaka kadhaa iliyopita, Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp...
3 Reactions
26 Replies
443 Views
  • Redirect
Nimemnukuu mmoja wa wadau Jf akifanya uchambuzi Jambo Tv
0 Reactions
Replies
Views
Mh Rais shikamoo Mimi ni Mtanzania niliyemsaidia san Hayati Magufuli kufanya aliyo yafanya kupitia hapa hapa Haya ebu sema Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa? Watoto wetu walikuwa ndugu zetu...
0 Reactions
7 Replies
451 Views
Faustine Mafwele ni afisa wa ngazi ya juu ndani ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Assistant Commissioner of Police (ACP) pia ni Zonal Crimes Officer (ZCO) wa Kanda Maalum ya Polisi ya Dar es Salaam...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeamua kutukana maana Mimi nawajua hivi kweli Mbowe alinenepa akiwa magereza ila Tundu Lissu anakonda kwa sababu Gani? Mkuu wa Gerezani tusitafte kunyongwa MPE lishe Lissu nje kumejaa chuki...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
  • Featured
Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama. Hii ni kwa...
1 Reactions
3 Replies
187 Views
  • Redirect
Tuna maumivi tuna makovu na majeraha nyie hamuwezi kutufariji ni mpumbavu pekee anaeweza kusema watanzania watasahau. Tunaomba mwachie Tundu lissu bila masharti yoyote...
0 Reactions
Replies
Views
Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2...
10 Reactions
18 Replies
690 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kuwapangia vituo mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
1 Reactions
9 Replies
305 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara...
8 Reactions
32 Replies
945 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…