Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Najaribu kufikiria, Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kuhamia Dodoma mwanzoni mwa mwezi septemba mwaka huu. Wakati huo Rais atakuwa bado yuko Dar es salaam, mimi nadhani Rais na waziri mkuu...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Kama kuna mwanasiasa anatafuta mbio za nyoka sakafuni kwa kutuvunjia Amani 1.sept,2016 ahakikishe na família yake ipo ili tuanze nayo
0 Reactions
1 Replies
530 Views
  • Redirect
Serikali imesema kuwa iliamua kununua ndege mbili za abiria aina ya Bombadier Q400 kutoka nchini Canada kutokana na uhitaji wa huduma ya usafiri wa anga kwa safari za ndani ya nchi na mazingira...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wadau, Naomba kujua huyu kijana ni nani hapo lumumba?? Kuna baadhi ya maandiko ambayo Hayana Muda mrefu kwenye hicho chama nimekuta yana saini ya huyu kijana na kwa ufupi haya maandiko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF salaam, Siku zote mimi nitabaki kuwa mshauri mzuri wa chama changu CCM na Serikali inayoongozwa na kada wetu Mhe. John Pombe Magufuli - Mwenyekiti wa CCM Taifa na rais wa taifa letu. Kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Niweke wazi kwamba mimi nilikuwa na imani kubwa sana na kiongozi wangu ila ghafla nimepoteza imani naye mpaka sasa sijanufaika chochote biashara hakuna wateja, wanafunzi vyuoni hawajapewa pesa zao...
1 Reactions
Replies
Views
Nakumbuka maneno ya mzee Butiku kuwa tangu 1993 CCM ilikuwa na mtandao ambao wenyewe kazi yake ilikuwa ni kuitafuta ikulu kwa kila namna tangu hata baba wa taifa akiwa hai lakini CCM ilimeguka...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni wazi kuwa kama tunataka kuwa viongozi wazuri sharti tuwe watu wa kuangalia maono na kuona tatizo kama chakula mahali pa kujifunza zaidi) tuangalie tatizo katika mlengo wa kuangalia uwezekano na...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Kupevuka kwa demokrasia Tanzania na kauli za wanasiasa nduli kuhusu mtu mmoja huyu zinakaribisha majibu mengi kuliko maswali: 1. Fisadi ni sifa ya kudumu kwa mwanasiasa wa Tanzania mwenye sura...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Can confrontation and violence be avoided on Tanzania’s “Day of Defiance”? Posted on August 30, 2016 by Ben Taylor Tensions are rising ahead of this Thursday’s opposition protests against...
1 Reactions
0 Replies
648 Views
Vyama pinzani nawaonea huruma 2020 nahisi mtabaki 2 bungeni.kwa hali hiii jichunguzeni nani angeweza kufanya kazi kama ya Raisi wetu Magufuli kwa kasi. Ujasiri bila kuogopa mafisadi wote kwishney...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa muda mrefu kuhusiana na kamatakamata za wana wasiasa katika taifa letu,sababu kubwa inayotolewa ni uchochezi(sitaki kuamini wanachochea vurugu) maana wanatekeleza katiba ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Tunasukumiziwa katika makoo yetu chama kimoja tu kuwa ndicho pekee chafaa kuungwa mkono katika kuiangusha CCM. Tunaambiwa vyama vingine viungane nacho kwa sababu kimeonesha uongozi na kuwa ndiyo...
0 Reactions
140 Replies
10K Views
Maalim Seif wewe pamoja na viongozi wengine wa ngazi ya juu ya chama akiwemo Kaimu Mwenyekiti ndugu Twaha Taslima, ninyi ni viongizi halali wa chama na ndiyo roho ya chama kamwe msikubali chama...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Wana JF Pengine hili linahitaji mjadala kuhusu nini hasa watanzania tunahitaji kwa sasa 1. Kati ya mwaka 1990-1995 serikali ya awamu ya pili iliachilia mambo mengi yaende kama yatakavyo hadi raisi...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
  • Redirect
Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa -...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau, Katika mfumo wa uendeshaji wa serikali, serikali iliyo serious huunda au kuimarisha taasisi zake ambazo hutumika kama watchdogs ili kuitazama na kuikumbusha katika maeneo muhimu. Taasisi...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Serikali imezipiga marufuku taasisi zote za umma zilizopo chini ya wizara ya mambo ya ndani kutokuagiz a viatu nje ya nchi, badala yake wanunue viatu kwenye kiwanda cha kutengeneza viatu cha...
4 Reactions
66 Replies
15K Views
  • Redirect
Hakuna ambaye angedhania kwamba ipo siku Lowassa atasumbuliwa na polisi na kukamatwa. Naamini hata yeye hajawahi kufikiri hilo ila leo yanampata. Wanamghasi watakavyo as long as anafanya...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Lile genge lililojijenga ndani ya CCM kiasi cha kutikisa nchi kwa kujigeuza Mungu mtu, ufisadi kiasi cha kuipasua na kuwa na makundi mawali; 1. CCM mtandao, genge la wasaka Ikulu. 2. CCM...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom