Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), amemtaka Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, kuacha kumzungumzia Makamu...
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama...
Hivi kumbe inawezekana watu wakawa ni mapacha lakini wasifanane. Hii nimeona leo, mmoja yupo South America, mwingine yupo Africa. Huyu wa America juzi hapa katoa kibali kwa Wafaransa wanyonye...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof...
Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo...
Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo.
Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA...
Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale...
Hamjambo!
Unapozungumzia Ukristo basi jua unazungumzia nchi za ulaya Magharibi.
Siasa za ulaya magharibu zinamchango mkubwa katika kuenea kwa ukristo katika nchi nyingi za Bara la Afrika...
Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala...
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na...
Natamani Waziri Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae.
Dudubaya amesema hayo wakati wa mahojiano na ST Bongo, ambapo amemsifia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana.
Watu kama hawa ni hazina kwa Taifa. Ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri.
Leo bwana DCO umenikosha sana