Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Tanzania ni moja ya nchi maskini sana duniani japo umaskini wetu ni wa kipato tu na si RASILIMALI.Moja ya vitu ambavyo ni viashiria vya umaskini wetu ni mipango miji yetu ilivyo kwa mjini na hata...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
  • Redirect
Lipumba ofisini Profesa lipumba aingia ndani ya ofisi ya ofisi za CUF makao makuu jijini Dar kama mwenyekiti baada ya Polisi kuufungua mlango kwa nguvu muda huu. Baada ya vijana wanaomuunga mkono...
0 Reactions
Replies
Views
Gazeti la Mwananchi la tarehe 23 Septemba, 2016 katika ukurasa wake wa Tano imeandikwa habari yenye kichwa cha habari “Harambee ya Profesa Muhongo yakusanya Sh 40,000 Bukoba”. Mwandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Nanukuu PROF kitila Mkumbo ''Ndugu Julius S.Mtatiro sikumaliza kusoma baada ya kuona una upande kuanzia mwanzo kabisa. Umeonyesha uongozi mdogo wangu. Wewe una muda mrefu katika siasa kuliko...
10 Reactions
159 Replies
17K Views
Gazeti la Uhuru limeandika uchochezi kati ya viongozi wa dini na UKAWA. Wote tunafahamu kuwa sababu ya UKAWA kukubali kurudi bungeni ni kwa sababu walishauriwa na viongozi wa dini, hata...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Ahadi zoote Rais alizotoa juu ya Kuboresha Masilahi ya Watumishi wa umma mapema akiingia madarakani ni hewa. Ajira za ualimu ni miaka miwili sasa Walimu bado wapo mtaani na huku inahubiriwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Nini maoni yako?baada ya kumsikiliza?
0 Reactions
Replies
Views
ANAJIWEZA. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Maalim Seif Shariff Hamad, kwenda matibabuni nje ya nchi bila kutumia mfuko wa serikali, anaandika Faki Sosi. Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa...
7 Reactions
49 Replies
8K Views
Huu sio uzi wa lugha, ni wa siasa! Pengine wengi mwishajua msimamo wangu juu ya matumizi ya Kiswahili. Naunga mkono sana kutapakaa kwa matumizi ya Kiswahili hata kwenye mikutano ya kimataifa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi magazeti Kama haya kwanini hayafungiwagi? Kuna ukweli wowote kuhusu hii habari? My take : hawa watu walisitaili kutolipwa mshahara miezi saba na niwakufukuza kazi kabisa !
6 Reactions
74 Replies
8K Views
  • Redirect
Vikundi vya wafuasi Profesa Ibrahim Lipumba wamekusanyika katika Ofisi za CUF Buguruni wakisubiri kumpokea mwenyekiti huyo wa zamani na kumwingiza ofisini. Wanachama hao wanadai wana barua ya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi CUF wanachomlelea Lipumba ambaye inaonekana wazi kwamba hana nia nzuri na chama hicho ni nini?! Alijiuzulu kwa hiari yake tena wakati ambao anahitajika sana, akaombwa asitishe uamuzi wake...
1 Reactions
Replies
Views
Nimefuatilia saana watoaji mada humu, Mawaziri, Wabunge, Viongozi wa Chama CCM habari zao zooote Reference huwa hawatoi kutoka Kwenye Gazeti la Uhuru wala Redio Uhuru! Hawaishii hapo tu, pia...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
  • Redirect
Msajili wa Vyama Jaji Francis Mutungi amemrejesha Prof. Lipumba katika nafasi ya Mwenyekiti wa CUF na kutangaza kutotambua viongozi wapya walioteuliwa kukaimu nafasi mbali mbali zilizokuwa wazi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kasema Prof Ibrahim Haruna Lipumba,bado ni mwenyekiti halali wa CUF. Source: Swahili Times
0 Reactions
Replies
Views
KAMPUNI ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imegeuziwa kibao katika suala la Escrow, imefahamika. Kampuni hiyo imetakiwa kurejesha zaidi ya Dola za Marekani milioni 100...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Redirect
Wadau amani iwe kwenu. Sina mengi sana,ila nawathibitishia tu kwamba;Mtaani sasa kuheshimiana kumerudi... Zile kauli""unanijua mm nani""kwa sasa zimebaki historia. Huyu mh.pia kajitahidi...
0 Reactions
Replies
Views
Hii imekuwa inanikera sana utakuta mtu ka-post habari fulani kumbe habari hiyo ni kichwa cha habari katika gazeti fulani. Unafuatilia post hiyo kwa kufikiri labda mtoa mada kapata fursa ya kupata...
1 Reactions
1 Replies
746 Views
Ndugu wanajamvi, Kwanza nianze kwa msemo usemao " yaliyopita si ndwele tugange yajayo" au maana nyingine mtu akishazikwa si vyema kufufua mwili wake. Tangu wiki moja mjadala mkali wa ESCROW...
0 Reactions
116 Replies
6K Views
WanaJf, salaam! Ninapata wakati mgumu kuona humu JF watu wanaponda kila jambo alifanyalo Mhe. Dkt Magufuli - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama ni kundi linalounda vyama vya upinzani...
5 Reactions
96 Replies
6K Views
Back
Top Bottom