Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Mgogoro wa CUF umeingia katika sura mpya baada ya viongozi waliosimamishwa uanachama kutishia kumshtaki Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro wakitaka athibitishe kama...
0 Reactions
Replies
Views
Wataenda mahakamani kuwashtaki viongozi wa CUF ili wathibitishe kuwa "Lipumba" ndiye "mtekaji" wa "Bashange" Wafuasi wanadai ulikuwa ni mpango wa kumchafua Lipumba! Mgogoro wa CUF umeingia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Hivi kwanini serikali na Tanesco huwa hawashindi hata kesi moja? Itokee basi washinde hata kikesi kimojawapo Uchwara, dah! Mara hii wamepata pigo jengine katika mgogoro wao wa kisheria wa muda...
0 Reactions
Replies
Views
Mambi ya marejeo ( Review) dhidi ya maamuzi ya mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Arusha dhidi ya ushindi wa Mbunge wa Arusha Bwn. Lema, aliyekuwa akiwakilishwa na wakili Komomogoro wa Arusha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Inashangaza hadi muda huu nipo viunga vya Sumbawanga si Mbowe wala Mbatia alikanyaga hapa kwenye janga la mvua ya mawe iliyoathiri mali na nyumba za wakazi wa mkoa huu wa Rukwa. Wananchi wa hapa...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
JPM apongezwe uratibu maafa Kagera Joseph Martin, Nottingham WATANZANIA bado tuko katika masikitiko kufuatia maafa yaliyoletwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera na baadhi ya maeneo ya Kanda ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
1. Mradi wa Rapid Bus Transport (BRT) maarufu kama Mwendokasi ni hasara kwa taifa kama utaendelea kama ulivyo sasa. 2. Serikali ifanye tathmini ya haraka ili matumizi bora na yenye tija kwa taifa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
NGUMU KUMEZA......!!! ......LAKINI NDIO DAWA YENYEWE Unafiki ni kitu kibaya sana.....!! ....hakuna namna,Vumilieni tu! #ukweliMchungu #ilaUnajenga
0 Reactions
Replies
Views
"Rais Magufuli amewashukuru rais Museveni, Kenyata na Kagame kwa michango yao". Mara nyingi rais amesikika akiwataka waathirika wa tetemeko kufanyakazi na wasitegemee misaada kutoka serikalini...
2 Reactions
8 Replies
831 Views
  • Redirect
Habari wanaJF, Taarifa zimeripoti zikisema kuwa Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza Ofisi ndogo za CCM zilizopo mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam asubuhi...
0 Reactions
Replies
Views
Bila shaka weekend iko njema, mnakumbuka kipindi cha tetemeko kule bukoba kuna habari ililetwa kuwa baadhi ya misaada ambayo ilitolewa na wapinzani, viongozi wa jeshi kule bukoba walipita baadhi...
25 Reactions
231 Replies
21K Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Kagera umelalamikia kitendo kinachofanywa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumia janga la tetemeko la ardhi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu, limetoa pole kwa wale wote waliokumbwa na kuathirika na maafa ya janga la tetemeko la ardhi yaliyotokea katika mkoa wa Kagera, na baadhi ya...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Baada ya rais Magufuli kusoma hotuba yake kwa lugha ya Kiswahili baadae ilitolewa kwa lugha ya kiingereza kwa manufaa ya wageni wasiojua Kiswahili. Mimi najiuliza je Yeye angeenda India au China...
8 Reactions
266 Replies
36K Views
Baadhi ya Vijana waliohitimu katika fani ya ufundi wa magari chini ya Mradi wa Uwezeshaji Vijana Kiuchumi (YEE) wakifanya mazoezi ya kurekebisha magari katika gereji ya Halmashauri ya Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Je hii nayo ni hapa kazi tu au kuishi kama Mashetani? Ndugu wanajamiiforum naomba kujuzwa sababu zilizopelekea Serikali kuongeza parking fee kutoka 1000 hadi 2000 kwa saa apa JNIA, maana hii sio...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwaka 2001, mwezi Desemba katika milima ya Tora Bora baada ya mapambano ya siku kumi na moja toka tarehe 6 hadi 17 na mabomu kadhaa kudondoshwa katika milima hiyo hatimaye askari wa miguu walianza...
3 Reactions
Replies
Views
UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini...
9 Reactions
189 Replies
21K Views
  • Redirect
ORDERED TO PAY $148M: Washington-based tribunal rules in favour of Standard Chartered Bank, saying dubious payments from the Tegeta escrow account do not discharge TANESCO's obligations to the...
0 Reactions
Replies
Views
Ningeomba kufahamishwa hawa viongozi wa vyama vya upinzani nchini wamechangia kiasi gani katika tukio la kusikitisha lilitokea mkoani Kagera. Ikumbukwe kuwa viongozi mbalimbali wameonekana...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom