Hapa Instagram anatumia jina la #strong_icome jina lake halisi Anaitwa Ruthmelda Silaa, baada ya kutekwa ndugu zake walizunguka vituo vyote hawakumuona pia jeshi la polisi lilikana kumshikilia...
Ubinafsi na roho mbaya ndivyo zilivyo, hao CNN wangepongeza ukuaji wa uchumi au wangepongeza utawala wa Samia yani ingekuwa ndio hashtag ya Msigwa na Samia, wala tusingezisikia habari za AI wala...
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, ameshangazwa na kile anachoeleza kuwa ni matumizi makubwa ya nguvu, including kuua watu, yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa Tanzania kwa lengo la...
Baada ya ushindi wa kishindo tofauti na chaguzi zilizopita, siwaoni wana CCM wakisherehekea ushindi wala simuoni Mkiti wao akizunguka mikoani kuwashukuru wana CCM na wapigakura.
Ni yeye tu na...
Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki.
ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye...
Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa)...
Kanisa la Moravian Tanzania limetoa tamko kuhusu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, likiungana na Watanzania kutafakari na kusisitiza umuhimu wa amani, haki...
Ikumbukwe siku ya jana msemaji wa serikali alisema wananchi waende kuchukua miili polisi na sio sehemu husika ya kuchukua wapendwa wao, hali iliyozua mjadala mkubwa kwa wananchi.
Kuna wananchi...
BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi.
Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya...
Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?
Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana...
Tanzania imeingia zama mpya. Na zama mpya zinahitaji mitazamo mipya. Hili nililisema humu ndani kama siyo October 27 basi 28.
Tutahitaji kufanya resistance ya kila namna dhidi ya udhalimu...
Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania
Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia...
“Kuna watu fulani sikuhizi mbili tatu walikuwa wanabeza uwandishi wangu wa Habari Mimi ni Mwandishi wa Habari hasa Tena Field Journalist nimefanya Makubwa nchini ingekuwa Jeshini Vitani ningekuwa...
Huu sasa ndio wakati sahihi kwa wapinzani ukitaka jumuia za kimataifa kutowaruhusu wahusika wakuu na chawa wao kusafiri kwenye nchi zao na kuzuia Mali zao.
Na UAE na Oman nao waambie juu ya hilo.
Wakijadili kwa kina namna walivyofanyia kazi ushahidi wa mauaji yaliyotokea kutokana na maandamano yaliyoitishwa tarehe 29 october na siku chache zilizofuata. CNN wameeleza kitaalamu hatua...
Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini wa Dini ya kiislamu ameongoza dua mbele ya Saidi Lugumu na waumini wengine ikiwa ni siku chache tu sakata la Udini...
Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo...
Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya.
Nini kilitokea mpaka mradi...
Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.