Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lissu ameulizwa kwanini ameongea sasa kuhusu rushwa za mama abdul na mwanaye anakuja kuongea sasa, amejibu hivi; Nilihitaji kukusanya taarifa zaidi kabla sijangumza, kabla ya kuzungumza kwenye...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na...
8 Reactions
92 Replies
11K Views
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) limeeleza kuwa liliwaita viongozi na wananchama wote ambao walikua na manung’uniko katika chama kuja kujieleza ili kutafuta suluhu na...
2 Reactions
6 Replies
601 Views
Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru kuendelea kuwa na matatizo yanayojirudia kila siku, Scanning Officer maoni ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamis Shabani Taletale (Babu Tale) anadhani...
0 Reactions
4 Replies
391 Views
Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
UJENZI WA MRADI MKUBWA WA SHULE MPYA YA MSINGI KABINDI B ILIYOPO KATA YA KABINDI - BIHARAMULO. Shule hii ni mpya ,haikuwepo kabla hapa kuna juhudi za mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Katika kitabu cha Marko 4:35-41, Biblia inaelezea tukio la Yesu kutuliza dhoruba iliyotishia kusambaratisha mtumbwi waliokuwa wakisafiria. Biblia inasema siku hiyo, ilipokaribia jioni, aliwaambia...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni ujaji wa kuhama kutoka chama cha CHADEMA na kuwaachia wanachozama nacho, kinachosubiriwa ni mikutano ya uchaguzi hapo ndipo zamu ya wanachama wa kawaida kubwaga manyanga na kuhamia chama au...
4 Reactions
15 Replies
901 Views
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema; BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie...
11 Reactions
20 Replies
1K Views
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai...
17 Reactions
26 Replies
2K Views
Kigezo cha elimu ya mbunge umekuwa ni mjadala ambao umekuwa ukijirudia mara kwa mara Hamisi Taletale Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ameeleza unamtazama mtu kama Msukumua IQ aliyonayo...
1 Reactions
2 Replies
377 Views
Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema watasimamia Demokrasia kwa vitendo katika mchakato mzima wa kuwapata wawakilishi wa nafasi mbalimbali watakaoenda kushindana na...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Wakuu! Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza...
14 Reactions
75 Replies
6K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na wananchi wa Magumu - Serengeti leo Mei 13 kuhusu suala la Msajili wa vyama vya siasa kutotambua uwepo wa cheo cha John Mnyika katibu Mkuu wa...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga ametangaza kujivua rasmi uanachama wa Chama hicho kwa madai ya kuwa ameitwa Msaliti baada ya...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya...
3 Reactions
11 Replies
703 Views
Back
Top Bottom