Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kimejaza kwa muda nafasi mbalimbali za uongozi kufuatia kujitoa uanachama kwa waliokuwa viongozi.
Waliojitoa unachama ni pamoja na...
Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya...
Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital...
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kueleza kuwa Akaunti za chama za X (Twitter) na YouTube zimechukuliwa na John Mrema na kudai alikuwa akipata faida binafsi kupitia mitandao hiyo...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi...
Naisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.
Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba...
Kwa sasa kuna tatizo la CHADEMA kukimbiwa na wanachama kulikoni! Hali hii imeikumba NCCR Mageuzi. kwenye vyama vya upinzani, kuna kabila linajiunga kimaslahi binafsi.
Tafakuri.
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali...
CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji.
( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye...
Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki...
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.
Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli...
Wakuu, Leo huko serengeti kuna viongozi wa chadema wamebwaga manyanga lakini kwenye maelezo ya utangulizi wanasema wao ni wao kumbe ni wana ccm walioishi ndani ya chadema
Fuatilia hii video...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani...
Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli...
Wanaukumbi.
Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu wakemee wanaotaka kuvuruga Amani ya Nchi.
Kiliba ameyasema hayo katika...
Akirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea...
Wakuu , naomba kupata ufafanuzi wa kitaalamu .
Ikiwa Jimbo ni kubwa je kinachohitajika zaidi nini kati ya haya.
Tume ya huru ya uchaguzi -kuligawa jimbo .
Au serikali kuelekeza bajeti kubwa ya...
Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.