Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,382
Naisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.
Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba.
Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi.
Mimi siyo mnyonge kama G55