CURRICULUM VITAE
TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU
TAARIFA BINAFSI
Jina Kamili: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Tarehe ya Kuzaliwa: 20 Januari 1968
Mahali pa Kuzaliwa: Mahambe, Wilaya ya Ikungi, Mkoa...
Kuna kiongozi wa dini amejitokeza kuombea binadamu mwenzake afe sijui ndivyo dini yake inamfundisha au inamtaka afanye hivyo.
Lakini sisi wenye dini za upendo tunafundishwa tuwapende maadui zenu...
Tundu Lissu aliendelea na majumuisho yake ya mwisho katika kesi yake ya uhaini, akijikita zaidi kwenye hoja kuu mbili:
1. Hoja ya publication: Alipinga madai kwamba yeye ndiye aliyechapisha video...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameapa kutoogopa vitisho vyovyote na kuendelea kupigania haki za wananchi wake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na umati...
Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile.
Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake
Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake
Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa...
Maneno wanayosema watu kwamba wanataka wajumbe wafike hapa kutoka Umoja wa Mataifa, kutoka Commonwealth, kutoka European Union , kutoka wapi kwingine sijui,waje hapa watusaidie kutanzua matatizo...
Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri
===================================================================
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza kuwa Novemba 04, 2026 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, Mkoa wa Dodoma, pamoja na Madiwani katika kata 11 za...
Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Kondoa Mjini, Dodoma wameeleza hisia na madai mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mbunge wao katika shughuli za jimbo, huku taarifa zisizothibitishwa zikisambaa katika...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa...
INADAIWA zaidi ya wananchi 100 wa kabila la Wanyantuzu, wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi na polisi katika Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
Madai hayo yalitolewa jana Dar es Salaam na Mbunge wa...
kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi.
Sababu kubwa ni kwamba dunia...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa...
Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali...
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na...