Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining...
Anaandika Jebra Kambole
AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo...
ARUSHA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi wa...
Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Nadir Abdullatif Al-Wardy alisema hayo wakati akiwasilisha taarifa kuhusu mafanikio ya wizara hiyo katika siku 100 za Rais Dk Hussein Mwinyi...
Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha,
Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa...
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha...
Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel&Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025? Acheni unafiki.
Ukiona mtu anajifanya kuchambua jinsi Iran imechakazwa, Comment neno lolote baya akasirike
Mwisho wa...
TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata...
Tanzanian diplomat Stephen Patrick Mbundi has been appointed the new Secretary General of the East African Community (EAC), where he will serve a five-year term leading the regional bloc’s...
Kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 serikali ilitangaza kuwa imefanya marekebisho katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili iwe huru na haki.
Moja ya maeneo ni...
Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo jijini Arusha imetoa uamuzi muhimu unaoitaka Tanzania kufanya marekebisho ya baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyohusiana na masuala ya...
Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao...
Masoko Makubwa ya Afrika Februari 2026.
Mwezi Februari umeonyesha mwanzo mzuri kwa chumi kuu za Afrika mwaka 2026, imechangiwa na kupungua kwa mfumuko wa bei, kuimarika kwa sarafu za ndani na...
Taarifa za kifedha barani Afrika.
Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka
🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango...
SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.
🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji
"Income starts wealth. Investing completes it."
Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema ushindi wa chama hicho katika chaguzi unatokana na kuwa na mfumo imara na mtandao mpana wa...
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika...
MHE.GHATI CHOMETE (MB) ATUMA UJUMBE MKOANI MARA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wanawake na wananchi wa Mkoa wa Mara, Mimi Mwakilishi wenu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ninaungana...