Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni...
17 Reactions
69 Replies
2K Views
Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke. Katika...
16 Reactions
57 Replies
2K Views
Kupitia Ukurusa wake wa X zamani Twitter anaandika Mwanasiasa Emmanuel Ntobi, Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya...
4 Reactions
37 Replies
741 Views
𝗞𝗢𝗡𝗚𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗔𝗖𝗛𝗜𝗡𝗚𝗔, 𝗠𝗔𝗗𝗘𝗥𝗘𝗩𝗔 𝗣𝗜𝗞𝗜𝗣𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗘𝗕𝗔 𝗔𝗕𝗜𝗥𝗜𝗔 Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Alhamisi - Januari 08, 2026. 🕰️...
1 Reactions
4 Replies
220 Views
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya...
5 Reactions
14 Replies
362 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Medani, Abdullah Makame, kada wa CCM amesema
0 Reactions
2 Replies
135 Views
Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa . "Ni vema tukafanya haraka...
3 Reactions
2 Replies
238 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye...
3 Reactions
6 Replies
310 Views
1. Yaliyotokea Tanzania ni kwa sababu Samia anadhani watanzania ni objects zake, sisi kwake ni kama kuku, ng'ombe , mbuzi , nyumba, sahani, kikombe, kikiko, çhekecheo and she can treat them at...
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Wakuu, Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini? Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea...
0 Reactions
19 Replies
748 Views
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi...
17 Reactions
106 Replies
9K Views
Friends and Our Enemies, Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani...
11 Reactions
127 Replies
2K Views
  • Redirect
Tumalizie kuwaumbua hawa Wakatoliki wa kuchaji. Huyu ni wa mwisho, then tuendelee na mambo mengine ya msingi. Dunia imeshajua hawa ni Wajinga, na Ulimwengu umetambua aliyewatuma ni Mpumbavu. Huyu...
6 Reactions
– Replies
– Views
DeletedMember281674
Kwako CDF MSTAAFU - MABEYO, tunakuomba uingilie kati suala hili naona mrithi wako hili kwake halimhusu, hii tabia ya kuibananga na kuibagaza Imani yetu ya dini yetu ya Roman Catholic ifike mahala...
2 Reactions
9 Replies
363 Views
  • Redirect
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa. "Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia...
9 Reactions
– Replies
– Views
https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw Jikumbushi nywinywi nywinywinywi. Yako wapi. Kumbe rais alituongopea? Je, hapa si muongo kama waongo wengine? Je, haya maridhiano siyo uongo? Je...
2 Reactions
7 Replies
326 Views
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa...
35 Reactions
36 Replies
1K Views
Kisa kwa ufupi: Viktor Frankenstein, mwanasayansi kijana hodari, anashikwa na jazba kuu ya kutaka kugundua siri ya uhai. Hatimaye anafanikiwa kuunda linunda hai kutokana na viungo vya binadamu...
3 Reactions
1 Replies
223 Views
Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…