Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Washindi EALA 1. Fancy Nkuhi 2. Happiness Legiko 3. Maryam Ussi Yahya 4. Dkt Abdullah Makame 5. Dkt Ngwaru Maghembe 6. Alhaj Adam Kimbisa
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wana Jf, Nimehuzunishwa sana na kitendo cha mbunge wa Chadema Halima Mdee kuja juu na kuporomosha maneno ya kashfa wakati mbunge mheshimiwa Stella Manyanya alipokuwa anahoji sababu za CHADEMA...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
#Update..kutoka bungeni Dodoma. --------------- Wagombea ubunge wa EALA bado wanahakiki kura zao. Kazi ya kuhesabu kura imemalizika. Karibia kila mgombea alikwenda mwenyewe kujiwakilisha kwenye...
1 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu moja kati ya ugonjwa mkubwa tulionao nchi hii basi ni kitu kinaitwa ccm huu ndo uko tayari Kuona tz elimu ya tz inafinyangwa ili wandelee kutawala wajinga... Ndo haya maccm yako Tayari...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Rejea Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa Wasira ajibu: Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amemshukia Mbunge wa Singida...
14 Reactions
121 Replies
12K Views
  • Redirect
Baba yake na Ben Saanane amwambia Godbless Lema maneno haya; ''Ben ni mwanangu sio mbuzi wangu, nisaidieni kumtafuta mwanangu, moyo wangu unauma''.
11 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naomba niwambie jambo moja ambalo pengine miongoni mwenu wapo wanaofahamu na wengine labda hawajui. Mimi nafanya kazi kama Afisa tarafa huku kasulu,na kambi ya wakimbizi ya nyarugusu ipo ndani ya...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadau naomba maoni yenu kwa ushangiliaji aliyefanyiwa Rais mstaafu Kikwete leo hii bungeni inaashiria nini kwa utawala uliopo madarakani. Cha kushangazaa sana wabunge wa chama cha CCM ndio...
0 Reactions
Replies
Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya kodi ya jumla ya Sh. Trilioni 10.87 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2016/17 ambapo makusanyo hayo ni sawa na ukuaji wa makusanyo ya asilimia...
1 Reactions
3 Replies
943 Views
Katibu wa Bunge, ndugu yangu Dr. Thomas Kashililah, umekosea kucheza filamu dhidi ya watani zetu wapinzani (CHADEMA na CUF). Ni kuhusu uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika ya...
14 Reactions
23 Replies
3K Views
IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika...
4 Reactions
49 Replies
8K Views
  • Redirect
Habari Za sahizi wanaGT's. Nilikuwa natazama bunge live kupitia Azam tv, nimegundua kinachoisumbua bunge ktk mchakato wa kuchagua wabunge wawakilishi EALA ni kutokana na Wabubge walio wengi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
CCM wameingizwa mjini kwa kutojua kanuni, wamepanga kuwawekea X wagombea wa Chadema ili kuwakomoa, lakini waelewe kanuni zinasema chagua mgombea kwa kuweka alama ya (√), ukiweka (X) kura yako...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nakubaliana na pia ninawaunga mkono wagombea wetu wawili yaani Wenje na Lau Masha, ila hili la kukiuka kwa makusudi kanuni na taratibu za Uchaguzi ni Uhuni. Sitaki kuamini kuwa hakukua na wagombea...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Niko ninaangalia mkutano wa7 wa bunge-uchaguzi wa wabunge wa EALA..wabunge wa CHADEMA na CCM wanavutana kuhusu moja ya tatu (1/3).. Nimeshangazwa na Halima Mdee akisema kua CCM wana nafasi ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo hii Raisi Mstaafu Kikwete kafika Bungeni na ameshangiliwa sana na Wabunge, kwetu imekuwa ishu, hv ni lini mara ya mwisho Raisi mstaafu wa JMTZ alishwahi kufanya alivyofanya Kikwete leo mpka...
0 Reactions
Replies
Views
Heshima kwenu wakuu, Hivi sasa utaratibu wa kuomba kura na kupiga kura kwa Wagombea wa Bunge la Afrika Mashariki Ushaanza. Lakini kabla ya hayo,Katibu wa Bunge ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama...
45 Reactions
310 Replies
18K Views
  • Redirect
Wadau mtakumbuka wakati Rais magufuli anaunda serikali yake akiwateua maprofesa kadhaa kudhika nyadhifa mbalimbali zikiwemo za Ukatibu Mkuu.Prof.Mkumbo aliibuka Na kusema kuwa Rais anafanya kosa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwamba ni kosa kubwa kwa wabunge wa ccm kwenda kumwona mh,lema mahabusu kwasababu mh, lema ni mpinzani, hili likawa kosa la usaliti kwa chama. Ikiwa kwa ccm ilieleweka je hili laa kitila kuwa...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom