Anaandika wakili Boniface Mwabukusi,,, Narudia tena .Hapa tulipofikishwa na utepetevu wa vyombo vya maamuzi pamoja kwa kuharibu demokrasia,uwajibikaji na Utawala wa sheria hatuwezi kutoka kwa...
Hawa watu hawa! Wameona wakitaja ifadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa wana confirm kile watanzania wanasema kwamba ile asilimia 97 ni mtu.tu.alijiandikia.na kutangaza
OCD wilaya ya Chunya ametoa wito kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kutowauzia bodaboda petroli zaidi ya lita moja kwani wamekuwa wakiyatumia kufanya uhalifu ikiwa pamoja na kuchoma majengo.
Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema kauli ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano ya Oktoba 29 ni ya kubeza maumivu ya familia zilizofiwa...
Mwigulu Nchemba sasa anazunguka kama waziri mkuu, ingawa hali ilivyo, yuko ktk serikali ilisiyotambuliwa.
Ameanza kuonesha kwamba anajali hali za wanyonge, kwamba yeye ni mtu makini, kwamba...
Akizungumza leo Novemba 27, 2025 Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Amani Golugwa amerejelea Mkutano wa Wazirir Mkuu Dkt. Mwigulu na wahariri wa Vyombo vya Habari...
Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote.
Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo...
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edward Sokoinne (mara mbili)
Cleopa Msuya (mara mbili)
Salim Ahmed Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Frederick Sumaye
Edward Lowassa
Mizengo Pinda
Kassim Majaliwa...
Kuna visa ukivisikia unadhani ni story lakini jeshi hili la Polisi Tanzania ni jeshi la ovyo na hasa kwa unyanyasaji na ubabe usio na kichwa wala miguu.
Asakari polisi anaweza kukufanyia lolote...
Mussa Azzan Zungu, pamoja na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed, walikutana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amebaini maendeleo chanya katika ujenzi wa madaraja ya dharura mkoani Lindi, wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo ambayo imefikia karibu asilimia 90 ya...
Hoja kubwa ni kwa nini baadhi ya watu kadhaa wajione wao ndio watu wenye kunufaika na hili taifa?
Kwamba wao wanawez kujipa madaraka, kuiba mali za umma na kuona raia wengine ni takataka.
Suala...
Hamjambo!
1. Kujisahihisha sio kujidhalilisha bali ni kujiimarisha.
2. Kujisahihisha ni kukiri kwamba akili yako inafanya kazi na inahitaji kitu Bora.
3. Kijisahihisha ni njia ya kujenga jamii...
Wameanza kutengeneza njia za maridhiano, ila cheko la Padri Charles Kitima linakitu sana ndani yake
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya...
Yani nilishangaa kikosi cha zimamoto na trafiki wanashika bunduki kipindi cha mo29.Hapo mshapata picha kuwa idara nyingi ni lugha gongana kwa sasa.
Majuku ya idara sio kuwa sehemu ya eneo naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.