Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Pamoja na kwamba bado sijaelewa hasa Malengo ya Watu hawa ambao wengi walikuwa viongozi wa Juu wa Chama, lakini sitaki kuwasingizia lolote, na ndio maana napendekeza Waitwe ili watupe siri ambayo...
23 Reactions
200 Replies
6K Views
Wakuu Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi...
6 Reactions
146 Replies
5K Views
Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ====...
0 Reactions
2 Replies
396 Views
wanasema: 1. We are at the infancy of democracy and should be given time to EVOLVE! (matusi kidogo)... to evolve 2. Mutunga ataishitaki Tanzania katika EAC 3. Wanasheria na viongozi wengi Kenya...
20 Reactions
103 Replies
4K Views
Wakuu Lembruce Mchome, anasema yeye ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Mwanga, kwa sababu idadi ya watu iliyotakiwa kumvua uanachama haikutimia.
0 Reactions
8 Replies
649 Views
https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 21 Mei, 2025 amekabidhi rasmi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano, 2020-2025 kwenye...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ameungana na Watanzania wengine katika zoezi la kuboresha taarifa za Mpiga Kura kwa mwaka 2025, ambapo leo ameboresha taarifa zake katika shule ya Amani...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Kuna baadhi ya Wakenya jana waliandamana kwenye ubalozi wetu wakitaka ubalozi ufungwe. Kuna mbunge amependekeza viongozi wa Tanzania akiwemo Rais Samia wazuiwe kuingia nchini mwao. Kuna wengine...
36 Reactions
184 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi...
13 Reactions
84 Replies
8K Views
VIDEO FUPI : leo tarehe 21/5/2025 Mbunge wa biharamulo amehakikishiwa kujengwa kwa soko la mazao ya chakula katika kata nya LUSAHUNGA wilayani kwetu biharamulo. Kupitia mchango wako bungeni...
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo. Pia soma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeonya watu wanaopanga au wanaotarajia kuvuruga amani wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao, ikisisitiza kuwa vyombo vya dola vimejipanga kuhakikisha...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Akizungumza...
1 Reactions
13 Replies
889 Views
KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO 31,5,2025 SERKALI KUPITIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO IMEMUHAKIKISHIA MBUNGE WA BIHARAMULO ENG EZRA JOHN CHIWELESA KUWA : 1.Ujenzi wa Bwawa la mwiruzi lenye ujazo wa lita...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Wakuu Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi. Hawa majamaa wanajali...
2 Reactions
12 Replies
912 Views
Back
Top Bottom