Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani. Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na...
8 Reactions
28 Replies
696 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
1 Reactions
6 Replies
303 Views
Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania...
33 Reactions
39 Replies
1K Views
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na...
2 Reactions
8 Replies
313 Views
Moja kwa moja. Mwanaharakati Mange Kimambi siku za karibuni amepunguza moto wa kuhamasisha maandamano baada ya #MO29 mengine ya #D9 hakuhamasisha kwa nguvu kubwa na ya #D25 ndio kabisa hata...
12 Reactions
279 Replies
4K Views
Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya...
4 Reactions
12 Replies
401 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini. Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano...
28 Reactions
94 Replies
1K Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa na mwanasiasa mkongwe, Said Miraj, amesema serikali ina jukumu lisilopaswa kupuuzwa katika kulinda maisha ya wananchi, akisisitiza kuwa uhai wa mtu ni thamani kubwa...
4 Reactions
5 Replies
266 Views
Mara kadhaa nimekuwa nikikutana na watu na wengine kuwasikia wakijitambulisha kwa vyeo fulan lakini nashindwa kuelewa kuwa hivi vyeo wanavipata wapi? Kuna vyeo vinatumika zaidi mfano CDE COMRADE...
2 Reactions
13 Replies
357 Views
Ndugu zangu Habari !! Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali. Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala...
3 Reactions
8 Replies
360 Views
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nini cha kusema. Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali...
4 Reactions
73 Replies
1K Views
Yaani NYAMPALA WA GEREZA alilokuwa amewekwa Chacha dereva aliyevunjwa miguu ni MTUHUMIWA anazaidi ya miaka minane yupo Gerezani, hivi Dr Samia Ili taifa linaenda wapi? NARUDIA Tanzania haki zipo...
3 Reactions
24 Replies
762 Views
Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi dhidi ya Stanley Eribo kutoka Nigeria kwa knock out (KO) katika raundi ya pili tu. Wakati akitangazwa mshindi wa pambano hilo Hassan Mwakinyo...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
  • Featured
Disemba 10, 2025 Kanada inapitia upya msaada wake wa muda mrefu kwa Tanzania baada ya ukandamizaji wa kikatili uliofanywa na Polisi na Wanajeshi, ambao unaripotiwa kuua mamia ya raia waliokuwa...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe...
2 Reactions
40 Replies
602 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…