Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa.. Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima. Kwa miongo...
0 Reactions
29 Replies
534 Views
DeletedMember281674
Kwako Mheshimiwa, Kipenzi cha Watanzania Mkuu wetu wa nchi ikukupendeza Tunaomba utoe neno watanganyika tupone, Jumatatu iwe Sikukuu ya Mapunziko kusherehekea Idd Tatu (3). Ni Mimi Mtanzania...
2 Reactions
3 Replies
194 Views
Ripoti mpya ya Furaha Duniani (World Happiness Report) ya mwaka 2026 iliyotolewa Machi 19, 2026, imeendelea kuiweka Tanzania katika orodha ya mataifa yasiyo na furaha. Katika utafiti huo...
8 Reactions
23 Replies
513 Views
Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa. Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki...
1 Reactions
17 Replies
592 Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa...
1 Reactions
22 Replies
851 Views
Joto la maandamano kuelekea tar 29.10.2025 siku ya uchaguzi mkuu linazidi kupanda.. Yamebakia masaa machache kile kinachoendelea mitandaoni kithibitishwe kwa vitendo ama vinginevyo Hii mada...
32 Reactions
1K Replies
51K Views
Wafadhili wa Mheshimiwa Membe wamempatia kitita cha kutosha kufanya mapinduzi ndani ya CCM Hii ni Mpango Na utitiri wa wakwepa kodi watenge Tshs triolini moja kununua wabunge wa ccm kwa bilioni...
29 Reactions
287 Replies
56K Views
Salaam Wakuu, Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa...
15 Reactions
51 Replies
1K Views
Serikali imetangaza kupunguza kwa kiasi kikubwa ada za leseni na maombi kwa wabunifu, watayarishaji wa maudhui na vijana wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania ili kupunguza gharama...
2 Reactions
3 Replies
249 Views
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan S. Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini...
0 Reactions
7 Replies
335 Views
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili. Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye...
5 Reactions
7 Replies
370 Views
Sijajua kama kama kwa mujibu wa CCM, MAKAMU Mwenyekiti kama ana mlinzi ila hata kama anapewa ulinzi, huyu niliemuona chato akiwa amemshikilia Mzee Wasira mikono sio mlinzi ni mshika mikono tu...
21 Reactions
38 Replies
1K Views
Huyu mwamba amekua kimya sana miongoni mwa vijana wa JPM.
3 Reactions
3 Replies
254 Views
Wakuu Akizungumza alipokuwa katika mahojiano kwenye kipindi cha Medani Kuu na Edwin Odemba alisema: “Nilishindwa Uchaguzi ndani ya CCM kwenye kura za maoni 2025 katika Jimbo la Butiama kwa kuwa...
4 Reactions
12 Replies
409 Views
JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako...
1 Reactions
4 Replies
165 Views
Kwanini Majaliwa anashangiliwa na Watanzania wengi bila kujali dini wala kabila? kwasababu kwa kiasi fulani watu wanaona kama ameonyesha utu
2 Reactions
7 Replies
223 Views
Ukiacha wachache sana ndani ya CCM ambao kweli walikuwa wanampenda Magufuli kama mtu wengi ni wanafiki. Waliokuwa wanampenda kweli ni wakina Majaliwa, Ummy Mwalimu na Hata Raisi Mwinyi wengine...
2 Reactions
3 Replies
150 Views
Hamjambo wote! 1. Moja ya mambo yanayoweza kuwa yalimgharimu jpm ni kutokuwa mzuri kwenye Masuala ya historia na hapohapo hakuwa na ujuzi wowote wa mambo ya usalama. Yaani hakuwa mwanajeshi...
9 Reactions
48 Replies
784 Views
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki...
6 Reactions
16 Replies
398 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…