Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi maridhiano yanayobembelezwa ni yapi? Labda mtupatie miili ya kina soka mdude nk pamoja na ile miili ya 2910 na waliomshambulia LISSU wafikishwe mahakamani otherwise Bora muanguke wote nyie...
3 Reactions
5 Replies
151 Views
Inapendeza watu wanapojibiwa kwa hoja na kuelimishwa https://www.facebook.com/share/v/1DMBkoRUch/
6 Reactions
25 Replies
584 Views
Watanzania tunajua ukubwa ni dawa sasa imekuwa tofauti kwenye jukwaa letu hili la jamiiforum ambapo hakuna uhusiano kati ya ukongwe wa mwanachama na ukomavu wa akili. Nashangaa kuona mtu yupo...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo. Nchi nyingi duniani zikiwemo...
5 Reactions
36 Replies
907 Views
Huwezi amini RAIS wa awamu ya NNE akiwa Waziri wa Mambo ya Nje aliwahi PIGWA zungurute kwa kuzungukwa kwa kunyimwa kupewa mgao wa RUSHWA na Balozi aliyenunua jengo la ubalozi wa Italy kipindi kile...
19 Reactions
83 Replies
2K Views
Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto. Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂 Happy new year Tundu lissu the...
24 Reactions
57 Replies
1K Views
Elimu ya hela inahitajika sana nchini. Mtu anakaa tu nyumbani anaona hana Hela anaamua kuanza kuwatapeli watz kisa yy ni kiongozi wa chadema basi anaona chadema ni shamba lake kwamba yy na...
2 Reactions
27 Replies
602 Views
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima. Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu...
0 Reactions
172 Replies
3K Views
Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake. Kila kazi ina...
29 Reactions
110 Replies
25K Views
Jina: Josephat Mathias Gwajima Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970 Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza Uraia: Mtanzania Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima...
24 Reactions
82 Replies
6K Views
  • Featured
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa...
3 Reactions
126 Replies
6K Views
Sheikh Hilal Shawej maarufu kama Kipozeo amesema haki haiwezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu katika jamii, akibainisha kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo na ustawi wa taifa...
1 Reactions
66 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa John Heche, anawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya wa 2026. Tunapoingia mwaka mpya, tunatambua maumivu, hofu na uchovu uliowagusa wananchi...
23 Reactions
14 Replies
476 Views
Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House...
15 Reactions
111 Replies
3K Views
Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa...
5 Reactions
14 Replies
469 Views
Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote. Heko chadema.
49 Reactions
76 Replies
2K Views
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda. - Kikao...
2 Reactions
23 Replies
839 Views
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
4 Reactions
54 Replies
1K Views
Magufuli alikuwa Dikteta lakini alikuwa mzalendo kwa nchi yake, kama ilivyo kwa Putini, lakini Samia yeye si mzalendo hata kidogo bali ni ........wa rasilimali za Tanganyika. Na bado ameingia...
4 Reactions
3 Replies
251 Views
Kila siku kuna zuka utamaduni mpya Tanzania, kama hii ndo Tanzania mpya wanayoisema nadhani bora ibaki iliyokuwepo Baada ya uchaguzi yalizuka malumbano ya hoja kati ya "HAKI au AMANI" ni kipi...
12 Reactions
34 Replies
794 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…