uasi = rebellion
A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system.
Rebellion: When a group of people openly and...
Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau...
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho.
Devotha ameeleza hayo...
Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume...
Kama ni kweli Mh Freeman A Mbowe amenunua Chaumma basi hatakuwa mtu wa kwanza kununua chama cha Siasa
John Shibuda mbunge wa Chadema mstaafu alishawahi kununua chama cha Siasa kisha akakiuza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akielezea kilichotokea akakamatwa na Jeshi la Polisi, leo Mei 23, 2025 baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara...
MBUNGE WA BIHARAMULO ATAKA UHARAKA WA UJENZI WA MAEGESHO YA MAGARI KATIKA CENTRE ZA BIHARAMULO, LUSAHUNGA, NYAKAHURA NA BIHARAMULO MJINI (NYAMAHANGA) ILI KUKUZA PATO LA JIMBO.
Leo 6.5.2025...
Leo Mei 23, 2025 aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Muttamwega Bhatt Mgaywa, amechukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADC makao makuu ya chama...
Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake...
Baadhi ya Wakenya, akiwemo Mke wa Boniface Mwangi wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania nchi humo, huku wakiwa na Bendera ya Tanzania, Uganda na Kenya wakishinikiza Serikali ya Tanzania kwa...
Rais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza...
Kwenye mahojiano na Bongo FM, Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema "haina shida Mbowe aje tu CHAUMMA, kama anataka kuja CHAUMMA nitaachia nafasi ya Uenyekiti ndani ya Chama, Uchaguzi si...
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu...
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na...
Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA.
Wanasema wao si...
Wakuu, hapa nimewasogezea video ambayo wananchi wanatoa ya moyoni Sakata zima la waliokuwa viongozi CHADEMA kuhamaia CHAUMMA, ambapo wamewalaumu viongozi hao kukosa msimamo thabiti wa kupigania...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amepongeza msimamo thabiti wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka wazi na kwa...
Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili...
Baada ya Taarifa za Kada wa CHADEMA kuhusishwa na kuhamia CHAUMMA kwasabu ya kuwa mfuasi wa Mbowe, mwenye afunguka.
"Sio kweli kwasababu unaniona hapa, sio kweli aliyehama ni mtu wa Mbowe. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.