Si mseme tu Kwamba mlifunga kanisa ili kuhakikisha huyo Shetani anakuwa Rais, Sasa hivi hata akihubiri siasa madhabauni mbona hamlifungii tena.
Hii Serikali na huu utekaji na uuaji wanaona...
Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa.
Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa suala la kuahirisha safari za treni au ndege kutokana na hali ya hewa ni jambo la kawaida, hata katika nchi...
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda lililopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa...
Ni nani kati yetu ameshafika pale Soga kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR!? Ni wangapi wanajua ABC zake!? Ni wangapi wanachukua hatua ya kukemea ama kupiga kelele?
Yaliyotokea Upanga kwenye...
https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw
Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza...
- Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani...
Leo tarehe 30 Disemba, 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma ikiketi chini ya Jaji Ephery Kisanya imetoa uamuzi wa muhimu katika kesi dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhusu...
Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa.
Hadithi ya maisha ya Mussa...
Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau.
Kuna watu wamekimbia nchi kwa...
Huko serikalini ni kama watu wamepanick hata hawaeleweki.
Sababu nikwamba hawaelewi washike lipi waache lipi.
Mambo ni mengi:
. Ukosoaji unaongezeka
. Utekaji unaendelea
. Shinikizo kutoka ndani...
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku.
Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa...
Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia.
Tumefikiria sana...
Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya.
Ndio hivi sasa...
PART 1.
Ndugu zangu Watanzania!
Amani ya Bwana na iwe nanyi!
Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpy kwani siyo jambo rahisi kwetu Sisi watanzania baada ya kushuhudia maelfu ya watu...
Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni;
"Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka...
https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164
Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya...