Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
WanaCCM wachache waliopo hapa mkoani Arusha wameamua kususa kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama. Hadi sasa fomu hizo zinatembezwa kama mihogo kuwalazimisha watu wazichukue...
14 Reactions
96 Replies
6K Views
Naiona dhamira ya dhati kabisa kutoka kwa mhe raisi John Magufuli kupambana na kila uozo, Nikikumbuka kati ya Moja hotuba ya hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere aliposisitza yakwamba yeye hatageuka...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Redirect
Aliekuwa Mgombea wa Urais kupitia *UKAWA 2015* amezidi kuushangaza umma kutokana na *KIU* na *UCHU* wa madaraka alionao, Leo nimeona niseme jambo kwa niaba ya Familia yangu, na baadhi ya ndugu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naipongeza serikali kwa miswada yote mitatu(UTATU MTAKATIFU) ya kulinda rasilimali za nchi yetu kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha katiba.HATA HIVYO, katika mswada unaotaka mikataba yote inayohusu...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais mstaafu Mwinyi amesikika akisema ingekuwa utashi wake na si katiba basi rais aliyeko Rais angeendelea na urais milele! Mambo ya kushangaza sana haya, kwa mtu anayeacha u statesman na kuanza...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa wale tuliokuwa tunakumbuka enzi za augustino mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani kwa jinsi alivyokuwa akipambana na majambazi,wezi,magaidi n. K. Augustino lyatonga mrema ilifikia hatua...
0 Reactions
Replies
Views
Alianza Kwa kusema utawala au kuwa Rais wa nchi sio lelemama ni kazi ngumu ambayo utakosolewa na kila mwenye mlengo wa kushoto nawe. Pili: ingekuwa Sio katiba ingelifaa andelee kutawala miaka...
12 Reactions
228 Replies
20K Views
Tumeshuhudia wimbi la madiwa huko arumeru wakijiuzulu udiwani kwa sababu ya kumuunga mkono Magufuli kwenye harakati zake makinikia. Jambo hili la ku sacrifice udiwani kama njia bora kuuonyesha...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokabiliwa na wananchi wake kukosa uzalendo, kila mtu anapigania nafsi yake. Leo hii watu wanajifanya wanafurahia utendaji kazi wa JPM, wanaenda mbali wanasema...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais Dr John Magufuli toka umeingia madarakani 6th November 2015 ulipanga mikakati mizuri na kuanzia kazi kwa speed Kali sana. Na ulipotangaza Baraza la Waziri watanzania walikuwa na matumaini...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa amesema mauaji yanayoendelea huko Kibiti ni ya kusikitisha lakini Serikali inaendelea na kuwasaka na kuwatia nguvuni wote wale ambayo ni wauaji halisi. Waziri Mkuu...
1 Reactions
92 Replies
7K Views
Natambua kwamba Magufuli anaingizwa kwenye science kwasababu ya Somo la kemia alilosomea Kwa level ya aulimu. Sina shida ya yeye kusomea ualimu wa kemia na hesabu lakini pia kozi hii haifanya mtu...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Ikipitishwa itakuwa na maslahi mapana kwa taifa TMAA itakuwa replaced by Mining Commission .
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Redirect
Moja ya miswada itakayojadiliwa bungeni ni huu hapa ambao umelenga kulipa bunge nguvu ya kupitia mikataba yote ya maliasili itakayokuwa ikiingiwa na serikali na ile ambayo ilikwisha kuingiwa kabla...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwakweli ndugu yangu Mwigulu Nchemba ni kama mood yake haiko sawa kabisa, hii panic ni ya nini? Kwa mambo makubwa kama haya mtu anatamka lolote linalomtoka mdomoni, ndio kwamba mtu alitaka...
0 Reactions
Replies
Views
Natafakari tu misiba inayoendelea kulikumba hili taifa...tuwaache Zanzibar maana ni kama uongozi wao una mwelekeo...huku Bara jamani ni majanga! Mi najaribu tu kufikiri...kama majuzi tu walemavu...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
  • Redirect
Nimewasikia machinga wakibadilishana mawazo na wakauangalia mustakabali mzima wa CCM na kubaini kuwa mwanachama wa CCM itabidi ukapimwe akili Hata hao madiwani wanaorubuniwa ni wa kuwaonea huruma...
0 Reactions
Replies
Views
Giza nene limetanda kwa wakazi wa wilaya za Kibiti na Rufiji wanaoshuhudia kuendelea kwa mauaji ya kupigwa risasi viongozi wa Serikali za Mtaa na polisi licha ya Serikali kupeleka vikosi vya...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Unaleta malaika wa Mungu ili aje arithi nini katika nchi hii? Hawa watoto tunaowazaa watarithi nini katika nchi hii kama hatuko serious na maliasili za nchi hii? Vizazi vijavyo vitakuwa na hamu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…