NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 998
Alianza Kwa kusema utawala au kuwa Rais wa nchi sio lelemama ni kazi ngumu ambayo utakosolewa na kila mwenye mlengo wa kushoto nawe.
Pili: ingekuwa Sio katiba ingelifaa andelee kutawala miaka kumi zaidi, ila waislam wenzangu tatizo katiba.
Tatu: Naombeni sana wale wenye mapenzi mema na nchi hii kwanza tumuombee Kwa kazi kubwa aliothubutu kuifanya na zaidi sana hebu tumpeni Support.
Chanzo ni kila muislam aliye swali mnazi mmoja kariakoo

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kama si utawala wa katiba uliopo nchini, utawala wa Rais John Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote.
Mwinyi ameyasema hayo leo (Jumatatu) wakati akitoa salam za Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Amesema anayoyafanya Rais Magufuli ni mambo mazuri na kwamba kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kulipeleka taifa mahali kuzuri.
"Amelipeleka taifa mahali kuzuri, anerudisha nidhamu, sasa hivi ukienda hospitali unapata huduma vizuri, ukienda kwenye ofisi unapata huduma nzur," amesema. "Yako mengi mzuri, tumuunge mkono Rais wetu, kama isingekuwa katika basi ningesema aendelee kuongoza mpaka mwisho," ameongeza.