Hivi ni sahihi kuzaa na kuleta kiumbe wa Mungu katika hii nchi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Unaleta malaika wa Mungu ili aje arithi nini katika nchi hii?

Hawa watoto tunaowazaa watarithi nini katika nchi hii kama hatuko serious na maliasili za nchi hii?

Vizazi vijavyo vitakuwa na hamu hata ya kusafisha makaburi yetu?

Ya mjengoni yanasikitisha na kuumiza sana!!
 
Hivi wewe mpumbavu tukuulize huna kazi nyingine ya kufanya nchi hii????,tangu asubuhi tukiingia kuchungulia humu ni SALARY SLIP kaanzisha thread,huna mshahara ndo maana una jina hilo???,wakati mwingine mjifunze kusoma alama za nyakati, propaganda hazilipi tena,kama unabisha kamuulize aliyesitisha kugawa ela makanisani na misikitini,Sasa hivi anatetea magaidi wa uhamsho.Fanyeni kazi vijana,siasa zitawapeleka Segerea.HAPA KAZI TU.
 
Hii ndio mijitu iliyofikisha nchi hii hapa ilipo na bado haitaki kujifunza kutokana na makosa!!
 
Unaleta malaika wa Mungu ili aje arithi nini katika nchi hii?

Hawa watoto tunaowazaa watarithi nini katika nchi hii kama hatuko serious na maliasili za nchi hii?

Vizazi vijavyo vitakuwa na hamu hata ya kusafisha makaburi yetu?

Ya mjengoni yanasikitisha na kuumiza sana!!
Piga picha wazazi wako wangewaza hivyo kabla ya kukuzaa
 
Hii ndio mijitu iliyofikisha nchi hii hapa ilipo na bado haitaki kujifunza kutokana na makosa!!
Hiyo mijitu na EDWARD NGOYAI LOWASSA yumo,ndo maana mnaitwaga NYUMBU,hamjui mnachopinga na kutetea,achana na mambo ya VYAMA tumia akili zako za kuzaliwa.AFRICA wanasiasa wengi walaghai akiwemo MBOWE NA LOWASSA ndo maana mliletewa orodha ya mafisadi Papa baadae mkawa mnazungusha mikono bila kutumia akili.JPM haja base kwenye chama anatetea wananchi wewe endelea kupoteza muda wako kuanzisha threads humu JF,ila usivuke mipaka maana utapotezwa na tumedhamiria kweli zamu hii.Zamu hii kila goti litapigwa,bahati nzuri wengi wenu kama sio wote ni wepesi sana,ni hayo tu.TIME WILL TELL.
 
Mkuu ukiiwaza sana Tanzania unaweza kupata uchizi au ukakonda..we angalia maisha yako tu ,achana na mambo ya nchi hii,angalia yako
 
Mimi ndio maana huwa naamini sisi binadamu tuliumbwa kwa majaribo na sisi ndio jaribio la kwanza.
Lakini mkuu Salary Slip, hili swala ni mtambuka sana. Mbona hata kwenye vyama vya upinzani unakuta kiongozi ni yule yule miaka nenda miaka rudi, mfano mwenyekiti wa chadema mbona ni yule yule?!
Hili swala lipo kote, na kwa ujumla ni sote waafrika..
 
Urithi ni mwingi sana,kama vumbi la makinikia litatupatia Trilioni 108 zitakazomuwezesha kila mtanzania kumiliki Noah,basi watoto wetu hawawezi kukosa cha kurithi,watarithi hata "skrepa" za Noah tutakazokuwa tumeziweka juu ya mawe!

Mkuu uwe makini,hoja yako ina element za uchochezi,tulishaambiwa na "mukulu" tufyatue tu yeye atasomesha bure,sasa huoni hoja yako inapingana na agizo la rahisi?Wafyatue tu watarithi Noah.
 
Watapata rizkitu kwa mapenzi ya Mungu

Watakula haijalishi hata wakilimia MAKABURI ya mababu na baba wa wenyehela ambao ni waliouza rasilimali hizo bei ya kutupa na wakwepa kodi
 
Siku ikitokea JamiiForums tukawa na tamasha la siri na kujuana ID watu watauana aseee.Ref post za juu aseee ni zaidi ya vita
 
Back
Top Bottom