"Hatutotaka tena vurugu hizo za tarehe 29, zitokee Tena katika mkoa wetu wa Arusha. Tumejipanga, tutahakikisha tunawalinnda watanzania, tunawalinda wananchi, tunawalinda watalii"
Amos Makalla...
Salam ndugu Othman Masoud na Jussa
Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia...
Msikilize kada wa CCM, Dkt. Albanie Marcossy akieleza kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi Mkuu 2025 eti anadai "Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi"
Soma...
Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu.
"Katika taarifa yangu...
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo...
Kuna mambo yasiyotarajiwa yanaweza kutokea tarehe 9 Dec ni vizuri kujiandaa
Nawaza baada ya uchunguzi kukamilika LAZIMA wauaji watajulikana na kukamatwa kupelekwa na ICC
Na pengine mama hataweza...
Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.
Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
Kumekuwa na memo maarufu kuwa vijana
"wameshawishiwa" na watu waishio nje ya nchi. Yani watawala wanakiri...
Tarehe kama ya leo, Oktoba 29, 2025, inakumbukwa na Watanzania wengi kama siku ya maandamano makubwa yaliyotikisa taifa. Ni siku iliyobeba kumbukizi nzito kutokana na taarifa na madai kuhusu vifo...
Hayo mambo mawili ndio kiini na chanzo cha watanzania kutangaza maandamano mengine December 9, 2025
Mbali na kupora uchaguzi na kujisimika madarakani, umma wa watanzania unajihisi kupuuzwa na...
Katika mkutano wao leo, wameeleza kuwa wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, alipodaiwa kupora fedha za watu kwenye mabenki mbalimbali, TEC ilikuwa wapi? Wameuliza pia kwa nini...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi limeona na linafanya uchunguzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao va kijamii ikionyesha imetolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga.
"Chaguo ni moja tu...
Leo nilipitia mitaa ya tiktok Avenue. Ebwana weeh! Hawa Gen z hawa!. Hiki ni kizazi siyo cha kuvamia tu hivi hivi, discussions zao za kistaharabu, hawatukani, wanajenga hoja. Cha kufurahisha zaidi...
Wananchi msihudhurie mikutano inayoandaliwa na waziri, mbunge,. DC, RC ama kiongozi yeyote wa serikali hii haramu.
Mnapohudhuria mnapeleka ujumbe kwamba:
1. Mnaitambua serikali hii haramu.
2...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi...
Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU.
Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is...
Ninashangazwa na matamko ya baadhi ya viongozi wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhangaika kudhibiti Maandamano, Je, Hiyo ndiyo kazi yao kuamua kama maandamano ni sahihi au si sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.