PostGE2025 Maridhiano yamekuja kwa mlango wa nyuma

PostGE2025 Maridhiano yamekuja kwa mlango wa nyuma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,655
Reaction score
107,753
20251129_120408.jpg
20251129_120455.jpg
20251129_115820.jpg
 
Hivi hapo Nchemba anapopita ukijikausha kama humjui watekaji watakujia?

Maana naona Mama kanyanyua mikono yote kama mateka!
 
Sijui kama hapa ndio kuridhiana, tutazidi kutengeneza tatizo kubwa zaidi
 
Haya sio maridhiano, wala hayajakarobiana na maridhiano. Ila imekuwa vizuri wameamka usingizini.
 
Ivi unawezaje kwenda kwenye mikutano ya wauaji.laana na damu za watanganyika itawaandama
 
Back
Top Bottom