Salam Wakuu,
NImekuja Zanzibar (Unguja) kutembea sasa wakati nazurura na kutalii nikakutana na hilo jengo la Uchaguzi House. Nikasema nipate picha ya pale ikiwemo kujikumbusha kuwa nilipita...
Wakuu,
Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu...
Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni kiwanda Kikubwa cha kuzalisha Majungu ,Umbeya ,fitina , uchonganishi Na kupaka Matope na kuchafua Majina Ya Watu . Ni chama ambacho wanachama wake kutwa nzima...
Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 12.5 kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Hayo yameelezwa leo...
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe...
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa...
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani...
Mambo haya kama siyo magufuli, Yasinge kuwepo Tanzania Milele.
1. Daraja la Busis
2. Nyerere National Park
3. BURIGI national Park
4. Nyerere memorial hospital
5. Mtwara zonal hospital
6. Nyerere...
Wasalaam.
Kuna habari kwamba mwamba huyu hapo chini alishirikiana kikamilifu na kundi lile la wana mtandao kumnyamazisha na kumfutilia mbali jemadari yule mkuu wa kaya.
Wandugu.
Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo.
Hii Leo jeshi la polisi...
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.
Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa...
Updates:
Saa 10:20 jioni: Wabunge wote wameshaketi na viongozi wote, ikiwa ni pamoja na Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mkuu n.k wameshafika na Rais Kikwete...
Kama kuna jambo linakera watu wenye akili timamu ni kuona mashoga wanazidi kuongezeka katika jamii lakini pia agenda yao kupenya kirahisi sana na kubebwa na watu mashuhuri
Hivi karibuni ushoga...
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu...
Kwa mfano,
Tukianzia na NCCR MAGEUZI,
utabaini kwamba kiburi, majivuno, ubabe na ulevi wa umaarufu wa muasisi na kiongozi wa kwanza wa chama hicho wakati huo hayati Augustino Lyatonga Mrema ndio...
Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo...
Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM
Lakini wapi!
Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)?
Na hao ma Godfathers wake...