WAZIRI MKUU AKAGUA MADHARA YA MOTO SOKO LA SIMU 2000, AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUREJESHA BIASHARA
▪️Asema Serikali itatoa kauli baada ya uchunguzi
▪️Aagiza vibanda vipya vigawiwe kwa...
Askofu Musomba, akiwa kwenye homilia amehoji mambo mengi muhimu:
1. Amesema, zamani mtu akifariki watu walikuwa wanahuzunika na kulia sana, imekuwaje sasa, mtu anakufa, watu wanashangilia...
Kuna kilio kikubwa cha nishati na fukuto la nishati lilikuwa na viashiria vyote vya kuwa hali itakuwa tete sana pamoja na viashiria vyote hivyo kutokana na kwamba serikali iliyopo madarakani...
Wakuu,
Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!
Baba ananyeyekea...
Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila ametoa kauli hiyo baada ya hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kusema uchunguzi uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama umebaini kuwa...
Habari mi sio mtaalamu sana ila kwann ishu ya nyeti imekuja kipindi hiki? Ambapo report ya cag inahadiliwa na watanzania
Wakati huu pia report ya October ikisubiliwa
Kwann nyeti zimepotea tunduma...
Wakuu!
Huko Bungeni wakati anatambuliswa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika Dkt. Tulia Ackson...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, komandoo Wa Vita...
Kesi ipo mahakamani
-
Uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni ya mtandao wa Jamiiforums kwa siku 90 umesababisha mtumiaji wa jukwaa hilo, Fortunatus Buyobe, kufungua...
Machi 25, 2026
DODOMA, TANZANIA – Katika kinachoweza kuonekana kuwa ni ushindi mkubwa kwa watetezi wa uhuru wa kidijitali barani Afrika, Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mfululizo wa...
Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!
Kazi na Utu...!
Kwa fahari kubwa sana na kwa tabasamu lisilo kifani na nikiwa kama mdau wa muda mrefu hapa JF mwenye kuipambania kero ya kutokuwepo kwa bima ya...
Sidhani kama inasaidia kama Mteuzi hatakiri ukweli wa 29.10.2025 kuwa yanahitaji uwajibikaji.
Ukweli na uwajibikaji, then unawateua hao kuonesha good gesture.
Lazima ukweli ujulikane nani alitoa...
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA RWANDA, PAUL KAGAME
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Rais...