Rais Samia amedai kuwa bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine licha ya kupunguza ushuru, wananchi muwe watulivu hili jambo halijasababishwa na Serikali yetu.
Tangu Rais Samia alipomteua Angela Kizigha kuwa Mbunge Aprili 2, 2026 kumekuwa na maneno mengi mno kuhusu mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EALA).
Chanzo cha...
Geneva, Uswisi: Msimamizi maalumu wa Umoja wa Mataifa (UN), Gina Romero, ameisifu Tanzania kwa kuunda Tume huru ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba, kuwa ni uthibitisho kujali haki za binadamu...
Kingu awashukia wanamchonganisha Rais na Bunge, asema hakuna Mbunge anaweza kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Rais
Akichangia Bungeni leo Aprili 08, 2026, Mbunge wa Ikingu Magharibi, Elibariki...
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za...
Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari.
Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika...
Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.
Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi...
Mbunge wa Lulindi, Issa Mchungahela amesema dhana iliyojitokeza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anaifedhehesha serikali ni potofu, kwani ukaguzi ni dhana ya utawala bora.
TAARIFA KWA UMMA
Kumejitokeza shutma zilizotolewa na wazazi na walezi kuhusu malipo ya wanafunzi walioshiriki katika halaiki ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026. Shutma hizo...
Algorithm imenitumia hii youtube doc about tanzanite mafia kuna mpaka al-qaida ndani,
Sijui kama ni ya zamani na ilishawekwa hapa jf, lakini its interresting...
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amemtaka Waziri Mkuu kuwashughulikia waliobainika kufanya wizi na ubadhirifu kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
“CAG...
Akichangia Bungeni Aprili 8, 2026, Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Eng. Ezra Chilewesa. "Tunaomba wanaotoa matamko serikalini, kama ni mtendaji huna experience ya kuongea, sisi wanasiasa tuna...
JE TANZANIA IMEKIUKA AU INAKIUKA MKATABA WA UANZISHWAJI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JUU YA WAHESHIMIWA JAMES KINYASI MILLYA, NG'WARU MAGHEMBE NA ANJELA CHARLES KIZIGHA KUENDELEA KUWA WABUNGE WA...
Fedha za malipo kwa wanafunzi wa halaiki walioshiriki uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru zimezua sintofahamu, huku baadhi ya wazazi na wanafunzi wakidai kudhulumiwa, wakati Serikali ikitoa...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akizungumza bungeni leo Aprili 08, 2026 ameiomba Serikali kukata matumizi yasiyo ya lazima kwa kipindi hiki ili pesa itakayopatikana isaidie kuweka...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii...
Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji.
Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima...