Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayomhusu Wakili Msomi mwenzangu Tundu A. M. Lissu hasa anapotoa matamko au kauli zihusuzo Tanganyika Law Society (TLS). Iko wazi kuwa Lissu ni Rais na mwanachama...
4 Reactions
Replies
Views
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limepiga marufuku na kuwataka wananchi wasishiriki katika maandamano ya Septemba mosi mwaka huu. Limesema maandamano hayo ya Ukuta, yanayoandaliwa na Chama cha...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Jeshi la Polisi limeongeza askari na vifaa vyake Mkoani Dodoma ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM ambao unatarajiwa kumchagua Rais Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM Taifa. Awali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ruttashobolwa said Moja ya tarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii jioni ya leo February 7 2017 ni kuhusu Polisi Dodoma kumtafuta kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mbunge wa...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
  • Redirect
Awamu ya tano Sheria sio kipaumbele, wanajenga Nchi kwa akili zao kichwani, Kesi zako mahakamani, huku Serikali wanafanya yao wayatakayo, Mwanasheria akitetea anaepingana au kutuhumiwa na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hakika Rais MAGUFULI hatimae kaiona UVCCM ya SHAKA na JOKETI.Nilikuwa nashindwa kuamini kuwa kweli hii UVCCM italeta mabadiliko kweli?Na kweli kama inaweza kuongozwa na kina JOKETI ambao kila...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Songwe RPC Mathias Nyange confirms arrest of Mbozi MP, Frank Mwakajoka but fails to state why he has been arrested. Source The Citizen
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Tunduma(CHADEMA), Frank Mwakajoka akamatwa na Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya Hapo awali ilidaiwa kuwa mbunge huyo alisikika kutoa kauli za kuwadhihaki viongozi wa serikali...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
  • Redirect
Habari wakuu wa jamiiforums,napenda kuchukua nafasi hii kuliomba jeshi la polisi kumuhuji lissu kama mtuhumiwa namba moja kwenye kesi ya mlipuko wa kampuni ya mawakili ya IMMA advocate.Lissu...
1 Reactions
Replies
Views
Jerry Muro asiye na fadhila Na Saed Kubenea NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, "ushauri kwa wanasheria nchini " juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho. Hatua...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Kwa ninavyojua,hali ya uchumi ya Cuba ni ya kuchechemea,ni nchi ambayo bado ina sera za kijamaa,ambapo serikali inamiliki njia kuu za uzalishaji Kimsingi,Cuba ni nchi masikini isiyo na mtaji wala...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Mimi sijasomea sheria lakini naongea nilichokiona kwa kesi zangu na kesi zingine. Unapofungua kesi maana yake lazima uhakikishe unayemshitaki apate taarifa. Kitendo cha kumpatia taarifa kinaitwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesikiliza clip ya wanasheria wakiwa na watu wa Haki za binadamu, wanadai wako katika mgomo wa siku mbili ulio tokana na tukio la kuvamiwa kwa ofisi za IMMMA avocates. Nionavyo mimi mgomo huu...
1 Reactions
6 Replies
893 Views
Mtu kulaumu jeshi la Polisi ati kwa kuonekana wahalifu wamevaa sare za jeshi hili ni upungufu wa utaalamu wa uhalifu na intelijensia. Polisi wangehusika na tukio wasingevaa sare zao. Lakini upo...
1 Reactions
9 Replies
869 Views
Nisaidie kujua haya: Mara baada ya kukamatwa walipuaji hawa nini itakuwa msimamo wa chama hiki ktk kuwatetea wahalifu iwapo firm yoyote itaombwa na mteja wakawatetee? Nini itakuwa msimamo wa TLS...
0 Reactions
6 Replies
804 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 28/08/2017 TUKIO LA MLIPUKO KWENYE OFISI ZA MAWAKILI WA IMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 26/8/2017 lilitoa taarifa ya awali ya...
10 Reactions
168 Replies
14K Views
Nimesikiliza clip ya wanasheria wakiwa na watu wa Haki za binadamu, wanadai wako katika mgomo wa siku mbili ulio tokana na tukio la kuvamiwa kwa ofisi za IMMMA avocates. Nionavyo mimi mgomo huu...
4 Reactions
5 Replies
676 Views
Mbowe yupo kimya sana hasa kwenye kukemea yanayoendela nchini.tulitegemea mbowe kipind hiki awe strong sana..yeye ndo awe dira na muongozo kwa wote wasiokubaliana na Magufuli. But mzee mbowe...
21 Reactions
52 Replies
5K Views
Najiuliza sipati jibu kwanini rais aliamuru bilioni 500 za mzunguko ziondolewe na B.O.T? Zile pesa zilisaidia mzunguko wa pesa kuwa mzuri leo pesa hatuioni mtaani Kwanini achukue fedha za mzunguko...
8 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom