Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Mbowe yupo kimya sana hasa kwenye kukemea yanayoendela nchini.tulitegemea mbowe kipind hiki awe strong sana..yeye ndo awe dira na muongozo kwa wote wasiokubaliana na Magufuli. But mzee mbowe amekuwa kimya sana..wengine wanasema eti mbowe ni muoga sana..na inasemekana kisa cha uoga wa mbowe ni Mali zake zilipoanzwa kutekenywa. Mbowe ni money monger.. Kumbe mbowe alikuwa strong kwakuwa alikuwa na Slaa. But mbowe wa mashinji ni sawa mbwa koko..mbwa anayebweka tu lakini haumwi.
Mbowe badilika aisee.
Mzee lowasa siasa zake tunazijua..lowasa ni simba mzee. Lowasa anacheza siasa za kimya. Lowasa ni mafia kweli kweli.. Jamaa hajawahi kujenga chama..unakumbuka kipind yupo Ccm.. Hajawahi kuijenga Ccm alijijenga yeye. Unaambiwa kipind chake cha uwazir mkuu alijatahid kuweka wale wazee kunusa nusa wamasai wenzake(umamani jamaa ndo mmasi). Hata wakuregenzi/wakuu wa wilaya aliweka wake..!! Mzee jk hakujua hayo mpaka wazee kunusa nusa wakwambia mzee shauli ako.
ut his politics haziwezi kujenga chama zaidi kujijenga yeye mwenyewe. Lowasa anajijenga yeye zaidi ya chadema.
Mnyika yule CCM dhaifu hayupo tena..mnyika alikuwa anakusanya vijana na wamama kuandamana kupinga jambo lolote. But mnyika wa sasa km lusinde tu..hana hoja kabsa..mnyika aliishika Nchi na Nchi ikatikisika kabsa. Namkumbuka Mnyika walivyopambana na muhongo..but mnyika wa sasa hata yule wazir mdogo mavunde hamuwezi. Mnyika ukimya wako VIP mzee..
Zito but yupo vibrant sana..but hayupo relevant now..tatizo hana forum nzuri. Nzuri anajitahid kupambana na mkuu but chama chake hakimpi jukwaa zuri LA kupambana..!! Zito yule bado hajarudi..alafu bahati mbaya now anapewa madongo kote kote Ccm na ukawa..mbaya sana hii.
Lisu yupo safi..awe katibu mkuu..huyu mashinji siasa zake hazieleweki..inawezekana hawezi siasa za front line.. Km hawez siasa za front line awe master mind wa chama but hafai kuwa km wa chama.
Uoga wa chadema umetoka wapi..suala la Ben saanane mpo kimya, watumishi wa umma mpo kimya, mnasimamia nn sasa.
Hakuna kipind kizuri kwa upinzani kustawi kama hiki....Magufuli anamakosa Mengi sana...
Au mmerogwa?? Yule jamaa wa Chanel ten naye kimya- naibi katbu mkuu Zanzibar.
Leo wenzenu mmenyimwa ruzuku mpo kimya. Vyama vyenu bila kutumia nguvu ya Umma haisaidii. Matamko hawayasaidii..andaeni maandamano watu watawasapoti tu.
Sijawahi kupinga uamuzi wa lowasa kugombea Urais chadema. Ilikuwa ni faida.
Na siyo kila MTU anayekosoa chadema ni buku saba.