Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria...
9 Reactions
22 Replies
534 Views
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 imeeleza sababu kuu zilizopelekea kuongezewa muda wake wa kazi. Sababu hizo ni pamoja na kuendelea kupokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali na watu...
0 Reactions
6 Replies
219 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Chande amekanusha uvumi wa kuwa Tume hiyo imeongezewa muda ili ripoti yao ichakachuliwe. Jaji Chande...
0 Reactions
2 Replies
167 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti...
1 Reactions
11 Replies
468 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio...
2 Reactions
1 Replies
226 Views
Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga...
8 Reactions
114 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo...
2 Reactions
53 Replies
1K Views
Leo Tarehe 09 Aprili 2026, ni Mwaka mmoja tangu alivyokamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Tundu Lissu na kushitakiwa kesi kesi ya uhaini. Leo siyo siku ya ukimya bali ni siku ya kukataa hofu na...
4 Reactions
2 Replies
195 Views
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti. ====== The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households...
9 Reactions
91 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi. Tulia wa leo si wa jana wala juzi. Tulia wa leo amefubaa,amenyong'onyea,amepauka, amekuwa kichekesho na mnyonge katika viambaza vya wenye mamlaka. Wengi mtakumbuka sakata...
14 Reactions
35 Replies
2K Views
Taarifa zaidi kuhusu Mwakilishi huyo Mstaafu zitawajia punde, zikiambatana na sababu za mtu huyo kwenda leo badala ya siku zilizopita Usiondoke JF
5 Reactions
29 Replies
907 Views
"Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Tuslikuwa na Imani na Mahakama na Jeshi lakini sasa ni la Machawa! Tumebaki wenyewe
1 Reactions
2 Replies
120 Views
Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri...
4 Reactions
7 Replies
191 Views
Dear President Dr. Samia Suluhu, I hope this letter finds you in good health and high spirits. I am writing to bring to your attention a critical issue that affects the future of our country...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Yaani unafanya maombi ya kitu flani kwenye taasisi ambacho utalazimika kukilipia kwa kupata Control number, sasa ili upate Control number inakulazimu tena utoe RUSHWA ili utolewe Control number...
7 Reactions
11 Replies
295 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali itoe maelezo ya kina kufuatia uteuzi wa Bi. Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikidai kuwa...
3 Reactions
9 Replies
469 Views
Wanabodi, Angalizo la Utangulizi Naianza thread hii kwa angalizo la utangulizi kuwa hii ni thread ya swali!, nimeuliza kitu, na sijatoa statement yoyote hapa!. Nimeanza hivi ili kuweka caveat ya...
24 Reactions
112 Replies
19K Views
Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
3 Reactions
47 Replies
710 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…