Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama...
Kwa ufahamu tu:
Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa
Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua...
Kuna jambo nimejaribu kulitafakari sana kuhusu huu uandikishaji ,miaka yote tunaandikishwa na kupewa vitambulisho.
Ni kwanini awamu hii mnaandika majina tu na hamtoi kitambulisho? Ni nini lengo...
Wanabodi,
Siku ya jana Steven Mutambi, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya TAMISEMI alikuwa akizungumza kwenye mahojiano pale Crown FM na moja ya kauli ambayo alitoa ni kuwa kwenye Uchaguzi wa...
Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana
Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na...
Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna.
Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta...
Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea...
Katibu Mkuu chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa utaratibu wa wasimamizi wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kuwanyima mawakala haki ya kujua idadi (orodha) ya wapiga kura...
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki...
1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini.
Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati...
Wakuu salam,
Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa...
Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo
Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki...
Wakuu salam,
Leo nilipanga kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, na kweli nimefanya hivyo.
Ukienda kujiandikisha unakuta mwandikishaji yuko na daftari ambako unaulizwa...
Kwa hakika mmeupokea na kuitikia vema wito na wa Rais na Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Samia Suluhu Hassan wa kujitokeza kwa wingi, katika zoezi la kujiandikisha kwajili ya uchaguzi wa serika za...
Fedha za vijiji au kata ni mali za wananchi au mali ya umma ila viongozi wa CCM wakishirikiana na watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeweviti wao wamekubaliana kuchota fedha za umma kwajili...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanawake kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa kuwa wanazifahamu vema changamoto za jamii na pia wanao uwezo wa kuongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.