Misafara ya Watawala wetu

Joblee

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
1,470
1,590
Leo kuna msafara umepita Arusha - Moshi road hata sijauelewa..

Nilizea kuona V8 zikiongozana..

Leo nimeona Rav 4J milango mitatu, Suzuki flani old model, Passo mbili na ka gari kanafanana na vitz...

Mbele kulikuwa na gari ya Polisi kingora kikubwa na Pikipiki.. Na nyuma gari Moja ya Polisi...

Vipi zile V8 aka Mashangingi

Baba mkubwa alirudi nazo Kijijini??
 
Huo msafara huo.... Labda wa diwani. Nimeshuhudia msafara wa mkulu una hhayo mav8, nafikiria benzi au BMW Na nyingine za dizaini hiyo sio passo, vitz nk
 
Huo ni msafara wa mtu binafsi ambaye ameomba escort ya polisi. Hata wewe ukitaka unaweza kuomba escort ya polisi lkn kuna utaratibu wa kupata huduma hiyo. eg; Diamond a.k.a Simba ashapewa huduma hiyo mara kazaa...
 
Kwa maelezo tu ya ainazamagari utajuakwamba msafari si wa kiserekali.Saa hii aakaa na mikokoteni a baiskeli za watoto ukitaka kwenda mahali na mmelipa mnapata msafara
 
Kuna ndugu yangu mmoja yeye alikuwa na V8 mbili kilimo kwanza za escort anakaa mitaa ya Bahari lakini siku hizi ana escort ya Mark 2 GX 110 na pikipiki ya polisi tuu
 
Kuna ndugu yangu mmoja yeye alikuwa na V8 mbili kilimo kwanza za escort anakaa mitaa ya Bahari lakini siku hizi ana escort ya Mark 2 GX 110 na pikipiki ya polisi tuu
Duh hii inaitwa back down
 
Leo kuna msafara umepita Arusha - Moshi road hata sijauelewa..

Nilizea kuona V8 zikiongozana..

Leo nimeona Rav 4J milango mitatu, Suzuki flani old model, Passo mbili na ka gari kanafanana na vitz...

Mbele kulikuwa na gari ya Polisi kingora kikubwa na Pikipiki.. Na nyuma gari Moja ya Polisi...

Vipi zile V8 aka Mashangingi

Baba mkubwa alirudi nazo Kijijini??
Usiumize kichwa, yule nabii WA Tanga,wa Shilo TV ndoo alikuwa anapita.
 
Hivi hakuna njia mbadala ya kufanya hii misafara nitumie muda mfupi??

Tupo huku Karibu na Bagamoyo ni zaidi ya saa moja sasa tumesimamishwa na kuna walio Kama zaidi ya hilo saa moja.Je huku ni kukosoa RAIA??

Au tu narudi enzi za JKN za kupigwa makofi barabarani??Inachosha wahusika waambieni watawala wanatuchosha.Hatuko njiani kuwapiga makofi.
 
Tangu saa kumi na mbili hakuna basi lililoingia stend ya Arusha kutoka moshi kwenda mikoani yote yamezuiwa ili kusubiri rais apite mpaka sasa saa Tatu na robo asubuhi hamna basi stend,
 
Back
Top Bottom