Serengeti: Kesi iliyokuwa inamuhusu Naibu Katibu Mkuu Chadema na Wenzake Imetupiliwa Mbali

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,896
Kesi Na. 158/2016 iliyokuwa inamhusu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalimu na wenzake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bariadi imetupiliwa mbali, hivyo washtakiwa wote wako huru.

Haki huinua Taifa, Mapambano lazima yaendelee
Maalim.jpg
 
Hizi kesi zinajua kufedhehesha na kupotezea watu muda.Ila bora imeisha kazi zingine zifanyike.
 
Kwenye sheria hawawezi wakashinda kwa kuwa kesi nyingi ni za kulazimisha labda kwa kwa kupiga risasi ndio wanaweza kushinda kwa kuwa risasi haina mtetezi na haina sheria ikitoka imetoka.
 
Ukiwa na kesi unakuwa na stress unawaza je lawyer wangu atasema ukweli au la? Hii ni mbinu inayotumiwa na watawala kuwafanya wapinzani kila mara wabaki kwenye stress. Huwezi fikiria kwenda kwenye jimbo lako kufanya kazi kama unakabiriwa na kesi kama za akina kubenea, Zito, Lissu, Mbunge wa Kawe, Mbunge wa Bunda na wengine. Hatujawahi shuhudia kesi kama hizi ila tulikuwa tunazisoma Rwanda na Uganda sasa tumekuwa mapacha matatu. Viva Kenya mmejikomboa toka mikono ya udikteta vivaaaaaaaaaa!
 
Naomba sasa awafungulie mashitaka Polisi kwa udhalilishaji.

Walimpiga hii picha na kuisambaza
(24).jpg
 
..Nia yao siyo kushtaki bali kusumbua, kudhalilisha na kupotezea wapinzani muda.

..wakati huohuo wao wanatengeza PESA kwani wanalipwa mishahara na posho kutokana na kodi zetu wakati wakisumbua na kudhalilisha wapinzani.

..Kwa faida ya wasomaji labda mngetueleza sababu zilizopelekea kesi hiyo kufutwa.
 
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
 
Niko mikononi mwa Polisi, Maisha yangu yote ni Mikosi........Afandeeeee!!!!!! By Sugu a.k.a. Mr II a.k.a. 2 Proud.
 
Wawe wanaliopa fikia ili wajifunze kupeleka kesi zisizo na kichwa wala kiwiliwili
 
Kwenye sheria hawawezi wakashinda kwa kuwa kesi nyingi ni za kulazimisha labda kwa kwa kupiga risasi ndio wanaweza kushinda kwa kuwa risasi haina mtetezi na haina sheria ikitoka imetoka.

Wanashinda gani? Ukiogopa wanashinda. Watu hawakuogopa nyuklia ya URUSi na wakaangusha ukomunisti na vidogo vyake, sembuse mwenye risasi.
 
Ukiwa na kesi unakuwa na stress unawaza je lawyer wangu atasema ukweli au la? Hii ni mbinu inayotumiwa na watawala kuwafanya wapinzani kila mara wabaki kwenye stress. Huwezi fikiria kwenda kwenye jimbo lako kufanya kazi kama unakabiriwa na kesi kama za akina kubenea, Zito, Lissu, Mbunge wa Kawe, Mbunge wa Bunda na wengine. Hatujawahi shuhudia kesi kama hizi ila tulikuwa tunazisoma Rwanda na Uganda sasa tumekuwa mapacha matatu. Viva Kenya mmejikomboa toka mikono ya udikteta vivaaaaaaaaaa!

Acha kudanganya watu. Ukiwa na kesi na uhakika wa kushinda unaendelea na shughuli zako stress inahamia kwa mwenye dalili yakushindwa.
 
Niwashauri watawala wazalishe akina mahatma Gandhi au akina Mandela wanasheria smart badala ya kupambana mahakamani kudhalilisha taaluma ya sheria. Yaani mwanasheria wa serikal anapelekewa kesi lkn anajua anaenda kushindwa
 
Mimi naona kesi hizi zinaligharimu taifa sana tena kama wakidaiwa fidia ndio kabisaaaa

Zitumike hela za chama cha Polepole na wengine wanaoratibu kesi hizi maana tumechoka aibu na hasara kwenye kesi
 
Back
Top Bottom