Hivi Kinana bado ni Katibu Mkuu wa CCM

chiumbimnungu

Senior Member
Mar 25, 2017
151
217
Sijamsikia muda mrefu huyu mzee wala ule ukaribu sanaaa na Chama siuoni tena.

Naomba kujuzwa wazee wa Lumumba ni kweli bado katibu mkuu na kama bado katibu mkuu anafanyia wapi kazi zake au anatumia style ya remort sasa, ninachokumbuka mzee alikuwa mbele mbele tofauti na sasa haonekani Kabisaaaaaa.

Mukuje mutujuzeeee wana Lumumba wenyewe
 
Tangu alivyotumwa kutibiwa na aliposimama jukwaani akapishana kauli na bosi wake kang'olewa meno hahahahahahah
 
Mzee haelewi kinachoendelea katika chama na serikali yake! Ni kauli za mtu zinazofuatwa badala ya matakwa ya chama! Afu inaonekana hawezi kucheza dili kama za kina Mgambo, Bashite na mzee kijana!
 
Sijamsikia muda mrefu huyu mzee wala ule ukaribu sanaaa na Chama siuoni tena.

Naomba kujuzwa wazee wa Lumumba ni kweli bado katibu mkuu na kama bado katibu mkuu anafanyia wapi kazi zake au anatumia style ya remort sasa, ninachokumbuka mzee alikuwa mbele mbele tofauti na sasa haonekani Kabisaaaaaa.

Mukuje mutujuzeeee wana Lumumba wenyewe

Ndiyo! Vp na wewe bado unalinda kwa Mbowe?
 
Endeleeni hivyo hivyo na porojo, ikiwemo na za Tundu Lisu kupigwa risasi, huku wenzenu CCM wanaimarisha chama

vetnam29.JPG

BN642238.jpg

BN642257.jpg

BN642266.jpg

BN642278.jpg
 
Sijamsikia muda mrefu huyu mzee wala ule ukaribu sanaaa na Chama siuoni tena.

Naomba kujuzwa wazee wa Lumumba ni kweli bado katibu mkuu na kama bado katibu mkuu anafanyia wapi kazi zake au anatumia style ya remort sasa, ninachokumbuka mzee alikuwa mbele mbele tofauti na sasa haonekani Kabisaaaaaa.

Mukuje mutujuzeeee wana Lumumba wenyewe
Sijamsikia muda mrefu huyu mzee wala ule ukaribu sanaaa na Chama siuoni tena.

Naomba kujuzwa wazee wa Lumumba ni kweli bado katibu mkuu na kama bado katibu mkuu anafanyia wapi kazi zake au anatumia style ya remort sasa, ninachokumbuka mzee alikuwa mbele mbele tofauti na sasa haonekani Kabisaaaaaa.

Mukuje mutujuzeeee wana Lumumba wenyewe
Zama zake zimeisha, hizi ni zama za Wapumbavu kabisaaaa;
Wako wapi watu wakoooo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom