Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hellow Tanganyika! Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu. Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze...
0 Reactions
3 Replies
504 Views
Wife juzi kanipigia simu kuniambia kuna watu wamekuja home hapa Nzega mjini, kata ya Nzega Mashariki, wanagawa mitungi ya gas bure nikamkatalia kuchukua. Sasa leo ikabidi nimdodose yaani ni kina...
23 Reactions
119 Replies
5K Views
Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu...
1 Reactions
1 Replies
353 Views
Licha ya tangazo la mwaka 2024 la kutangaza nafasi za Kazi ya Muda ya waandikishaji wasaidizi na BVR OPERATORS kuaininsha malipo ya Kazi kuwa ni tsh 50,000 Kwa siku na yatalipwa Kwa siku zote za...
0 Reactions
1 Replies
422 Views
Habari wana bodi, Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali...
0 Reactions
9 Replies
834 Views
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu, Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI. Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko...
36 Reactions
207 Replies
20K Views
Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata...
97 Reactions
451 Replies
54K Views
Mh. Msajiri wa Mahakama kuu ya Morogoro, napenda kukutaarifu kuwa katika mahakama ya Mwanzo Nunge kuna Rushwa iliyokithiri. Mahakimu wengi hapo ni changamoto sana kwa wananchi ambao ni wateja wa...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana...
22 Reactions
71 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona...
15 Reactions
245 Replies
14K Views
Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe...
17 Reactions
213 Replies
11K Views
➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa...
18 Reactions
141 Replies
14K Views
Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya...
1 Reactions
9 Replies
899 Views
Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili. Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu. Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya...
55 Reactions
216 Replies
18K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Iringa kimewataka Wananchi kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa wenye uwezo watakaofanya shughuli za kijamii bila itikadi cha siasa. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo...
2 Reactions
4 Replies
650 Views
Katika muktadha wa elimu nchini Tanzania, idara ya sekondari katika Moshi Manispaa imejikuta katika hali mbaya ambayo inahitaji umakini wa haraka kutoka kwa serikali. Mkuu wa idara na wasaidizi...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
Back
Top Bottom